Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,861
- 1,302
Jana kulikuwa na threads mbili humu ndani ya JF juu ya kukamatwa kwa Dr. Slaa; na ya tatu ilianzishwa wakati taarifa zilishaenea toka kwa Regia kuwa ameshaachiwa na walikuwa wanaelekea BKB.Aliyofanya Dr. Slaa kule maswa yanadhihirisha yale ya Arusha alitaka akamatwe wananchi walete fujo apate pa kulaumu kuwa JK kasema watalinda usalama wa nchi. Sasa kakamatwa nje hakuna mwenye hila kama zake wa kuhamasisha watu wakamtoe kwa nguvu, wamaswa si waarusha!!
Cha kushangaza hakuna mwana JF aliyepost tukio lile humu!!
Inaonekana hizo threads zilikupita pemebeni; pia radio one hukusikiliza kwani nayo ilizungumzia suala hilo.
JF hapafichiki kitu.