Baada ya Lowasa kukataliwa Kanda ya Ziwa, Apson Mwang'onda na Tupa wawasili Bukoba kuokoa Jahazi

Lowasa atakaliwa kila sehemu kwa sasa madudu yake yanazidi kubainika kila siku.
 
Naapa mbele za Mungu, Lowasa asipochaguliwa kugombea urais CCM inakufa rasi. siwezi kuwa sehemu ya kuwapitisha watu wasio na uwezo kazi kuwaza tu madawa ya kulevya kama dogo kipara na wengineo. Sisi tumejiandaa na Lowasa otherwise RIP CCM my stupid party with less convicing ideologies. Nyie mnaopiga kelele kuwa Lowasa ni fisadi ni kwa kuwa hamjui undani wa mambo yanayoendelea na yaliyosababisha mkasema hivyo na kung'oka kwa Lowasa. Siku akisema nchi haitatawalika. Waacheni watu wenye vifua wakae kimya. Ulizeni acheni kupayuka hovyo mbulula nyie.

Kila siku mnbamleta Apson hapa ,mbona hamuwasemi hao walioko kwenye makundi mengine kama afanyavyo Mtama na wenzake ambao mkuu wa kitongoji anawasapoti? BADILIKENI EL for presidential 2015
Mambo mengine yanasikitisha sana mtu wa shetani kumtaja mungu yani wewe na lowasa ufisadi wote mnaofanya bado unamtaja mungu kweli we bwawa.
 
Mtiririko wa post za Chabruma zenyewe ni ushahidi tosha kuwa ni ukweli mtupu.
Lakin ingekuwa vizuri watu waliopo jikoni watupe taarifa zaidi. Maana makachero huwa wanajua kila kitu. Ila naona wana avoid hii topic sijui kwanini au sababu inamhusu bosi wao mstaafu.
 
Apson ndiye aliyemfukuzisha kazi Membe usalama wa Taifa

Acha muvi iendeleee
 
Hot Lady na thatha ninyi nawapuuza, bado mpaka sasa sina uhakika kama nyie ni binadamu....

Mpaka hapo itakapothibitika hamunayo mafaili Mirembe....
 
Last edited by a moderator:
Lakin ingekuwa vizuri watu waliopo jikoni watupe taarifa zaidi. Maana makachero huwa wanajua kila kitu. Ila naona wana avoid hii topic sijui kwanini au sababu inamhusu bosi wao mstaafu.
Hata mimi nashangaa kwanini wasimwage kila kitu hapa tujue kwanza huyo aliyekuwa boss wao amekuwa mwehu huwezi kuwa boss wa TISS halafu baadaye ukawa mjinga kama anavyofany Apsoni wamlipue tu tujue kila kitu.
 
Lakini chanzo cha ugomvi wa Membe, Aposon na Kitine ulianzia St Peter?
 
FUATILIA MJADALA HOJA ZINAJENGWA KWA MTIRIRIKO..... amesema kuwa lowassa anagawa pesa kila mahala sasa je lowassa ni begi la BOT.... bila shaka wewe ni kijana tafuta namna ya kuweza kujenga hoja hasa pale ambapo watanzania wenzako tunazulimiwa na jasho letu na matapeli wa pesa za ESCROW ufisadi ambao hauja wahi kutokea kama kweli mnataka ukombozi na si kuwaandama viongozi wazalendo...
Eti we ndo yule wa mapinduzi ya Zenji?:angry:
 
Magamba hakuna anayeaminika. Wasiwasi wangu ni mleta hizi nyuzi kum-promote fisadi mwenzao kiaina. Ukiwa bungeni unapata wapi hizi taarifa? ....nakumbuka jk alisemwa mengi mabovu yet akapewa urais....this time do not expect the same!
 
Mjadala si kusema uongo wala kupakana matope,kama amehongwa pesa kwa kuandika uongo wa kuipotosha jamii na aseme na atusibitishie uwepo na francis tupa na apson kuwepo bukoba ?wakati tupa hajawahi kusafiri yupo dar ,acha uongo hauta kusaidia ,huwezi kuishi kwa kutumia majina ya watu
 
Tuache masihara jamani, mwenye taarifa zozote zinazomhusu LOWASSA asiache kutujuza, huyu siyo mtu wa kuonea haya hasa ninapokumbuka ule mgawo wa Umeme uliosababishwa na RICHMOND(RICHARDMONDULI). Chambruma bwana wewe endelea kutuanikia huyu jamaa ni janga la kitaifa

Yani huyu jamaa tumlie tu pesa zake za ufisadi.
 
Mkuu, hiyo St Peter ni nini? Mie nijuavyo ni mashirika ya kidini ya kikristo

St Peter ni makao makuu ya Usalama wa Taifa. Wenyewe ndivyo wanavyopaita kuna kanisa kuuubwa pale karibu na Mbuyuni

Tukirudi kwenye swali la awali. Kwa nini Kitine na Apson walimfukuzisha kazi Membe Usalama wa Taifa?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom