baada ya lema kuvuliwa ubunge mikutano ya kimataifa yarejea arusha

Hivi kuna mtu ambaye hataki maendeleo?
Kwn G. Lema alikuwa anazuia mikutano hapa A town?
 
ni kweli kabisa utakuwa mpuuzi kuleta mkutano wenye wageni ambao baadaye wataingia mtaani katika mji ambao kila kukicha watu wanajali maandamano na fujo siyo hilo tu hata watalii ambao walikuwa wanalala arusha sasa hawana mpango huo,sasa ni nairobi ama watokako wanaingia katika ndege bomba katika hifadhi za taifa lakini hapa nani muathirika kila mkazi wa arusha kuanzia yule anayeuza nyanya mpaka matunda kwani bei imeanguka na soko hakuna
hii ndio picha inayotaka kuoneshwa arusha.kwamba Lema alikuwa akihamasisha vurugu mjini arusha.
 
Honestly Kama hao wapanga mikutano ... hiyo ndio mentality, their way of thinking and WORKING ... They should be brought down get out their Job ASAP!! They cant be lower than that!! Some kind of a shame isn't it?
 
kuna minong'ono inaendelea huku mjini arusha kuwa baada ya Godbless Lema kuvuliwa ubunge wa arusha mjini,mji huu umeanza kupata mikutano ya kimataifa ambayo ilikuwa adimu wakati wa ubunge wa Lema.

ninavyojua mimi ni kwamba hadi sasa ccm haina mgombea wa kiti cha ubunge Arusha mjini! Thats all!
 
ninavyojua mimi ni kwamba hadi sasa ccm haina mgombea wa kiti cha ubunge Arusha mjini! Thats all!
ni kweli,lakini hufikirii kama hini njiia ya kumuandalia sera mgombea wa ccm?
Nimefurahi kwamba wewe umerespond bila jazba.
 
Mafisadi wote waliopora mali ya watanzania kwa njia za kifisadi ni lazima zirudishwe kwa hiayari au kwa nguvu na hata kama watakuwa wamefariki lazima zichukuliwe kutoka kwa watakazirithi wawe ni watoto, wajukuu, vilembwe, vilembwekeze au yeyote yule awaye.

Wait, you will see.
 
mkuu,kuna sehemu nimesema Lema kazuia mikutano?

Umeniboa kwani wewe huishi arusha kama sisi unakurupuka na kutengeneza uzushi. Tangu Lema achukue ubunge hakuna kilichobadilika arusha na hata ukienda kwenye statistics za watalii zinaonyesha watalii waliongezeka. Usipige majungu kwa sababu unazozijua wewe
 
Mikutano ya kimataifa haito kama uyoga, inapangwa well in advance. Lema kaenguliwa ubunge hivi karibu na kwa vyovyote vile hii mikutano ilikuwa imepangwa regardless. Na kwa maoni yangu vurugu za Arusha zimeletwa na Jeshi la polisi na sio raia wala mbunge wa CHADEMA.

umenena kaka.
 
Umeniboa kwani wewe huishi arusha kama sisi unakurupuka na kutengeneza uzushi. Tangu Lema achukue ubunge hakuna kilichobadilika arusha na hata ukienda kwenye statistics za watalii zinaonyesha watalii waliongezeka. Usipige majungu kwa sababu unazozijua wewe
taarifa nilizonazo ni kwamba mheshimiwa sitta amepigania sana ili mkutano wa juzi wa mawaziri wa EAC ufanyike pale ngurdoto.
Samahani kwa kukubore
 
warudishe mikutano wasirudishe CCM HATUITAKI na kama hamu amini njooni kwenye mkutano wa nmc jumamosi muone inavyosambalatika uvccm na uw-arusha...
 
Back
Top Bottom