Baada ya Kuzuia Tangazo, TBC yajikosha kwa Policy Forum!

Bado lipo, wanalizuia kwa sababu mpaka sasa bado hawajapata majibu ya swali hilo.
 
Tangazo bado lipo hata leo nimelisikia na kuliona katika redio na televisheni
 
ni kweli hata mie nashindwa kuelewa kwa nini sisi maskini japokua tunakila kitu cha kutupa utajiri.
kazi kweli kweli.
 
ni kweli hata mie nashindwa kuelewa kwa nini sisi maskini japokua tunakila kitu cha kutupa utajiri.
kazi kweli kweli.
Umasikini wetu unatokana na uongozi mbovu ndani ya seriakli yetu ulaji wa Rushwa,Wizi wa Mali ya umma, uvivu wetu , uzembe, na ufisadi hizo zote zinachangia tuwe masikini siku zote tusipo jihadhari tutapitwa na majirani zetu wote kimaendeleo.
 
Ndugu Wadau,kuna tangazo moja linarushwa redioni na pia lilikuwepo TBC ambalo linamuonesha mwalimu mmoja anafundisha darasani wanafunzi wake kwa kutumia ramani ya Tanzania na kuwaelekeza sehemu zote zenye madini,afu mwanafunzi mmoja anauliza kama ni hivyo? je, kwa nini nchi yetu ni masikini? Je, lina mtazamo wowote wa kisiasa hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi? kwa maana ya kwamba lipo politically motivated and biased? kwani ipo habari kuwa TBC wamelipiga marufuku hadi baada ya uchaguzi mkuu kwa kuwa lina political influence? Wadau mliowahi kuliona mnasemaje?
 
Lile sio tangazo la kisiasa ile ni hali halisi ya nchi. Tatizo letu hatujazoea kusikia ukweli hasa watu wa CCM.
 
Tido! Tido!
Muulizeni kilichomuleta tena nchini. Siyo excellence! Nasikia anakula mshahara mara 20 ya walio chini yake. Kwa busara nionayo usoni mwake, hana uwezo wa kukataa yanayo dhalilisha taaluma yake.
 
12.jpg


''By all means Sir'' he must have said....like a dunderhead

Poor Tido! Hata body language yake inadhihirisha jambo .... woga!

Nunda tu
 
Nadhani Tido aliambiwa kutia sahihi akiwa ameonyeshwa mtutu wa bunduki!

Hii document ina makosa mengi sana ya ki-uhandishi na inanipa tabu kama kweli ni yeye Directopr General aliyeweka sahihi!

Toa boriti kwanza kwenye jicho lako!
 
Back
Top Bottom