Elections 2010 Baada ya Kuzomewa Kikwete apanda Hasira; Atamka Atashinda kwa Kishindo

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Katika moja ya Mikutano yake kanda ya Ziwa, Rais anayeondoka madarakani Bwana Jakaya Kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu kwa Watanzania.

Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, Bwana JK alisikika akisema:
"Oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. CCM itashinda kwa kishindo"

Wakati akiendelea kutetemeka jukwaani kwa kuaibishwa, baadhi ya Wananchi walikuwa wakiondoka kwenda kutafuta 'mkate' kwa ajili ya familia zao.
 
katika moja ya mikutano yake kanda ya ziwa, rais anayeondoka madarakani bwana jakaya kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu kwa watanzania.

Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, bwana jk alisikika akisema:
"oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. Ccm itashinda kwa kishindo"

wakati akiendelea kutetemeka jukwaani kwa kuaibishwa, baadhi ya wananchi walikuwa wakiondoka kwenda kutafuta 'mkate' kwa ajili ya familia zao.

chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!
 
(Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, Bwana JK alisikika akisema:
"Oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. CCM itashinda kwa kishindo" )

Mungu wangu tumeshaibiwa!!!! Tunusuru na wizi huu ewe muumba wa mbingu na ardhi
 
Sheet!!!!! hata mimi nimeona jana kwenye taarifa ya habari namna JK alivyokuwa anazungumza kwa Jazba huku akitetemeka, jamani kuna mtu ana hicho kipande akitundike hapa kwenye youtube ili watu wote waone huyu ndugu alivyo na hamu ya kurudi tena ikuru.
 
Katika moja ya Mikutano yake kanda ya Ziwa, Rais anayeondoka madarakani Bwana Jakaya Kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu kwa Watanzania.

Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, Bwana JK alisikika akisema:
"Oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. CCM itashinda kwa kishindo"

Wakati akiendelea kutetemeka jukwaani kwa kuaibishwa, baadhi ya Wananchi walikuwa wakiondoka kwenda kutafuta 'mkate' kwa ajili ya familia zao.

Nimependa jisi ulivyotambua na kuwakilisha waadhifa wa JK.
 
chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!

Hapo kwenye red Taarifa ya habari ya ITV jana saa mbili usiku, wana BUKOMBE walimkataa Luhahula mbele ya JK! ndio akatoa kauli ya kusema ikifika october 31 kachagueni mnayemtaka, na kuhusu CCM kushinda kwa Kishindo alijenga hoja dhaifu eti CCM ndio walikubali mfumo wa vyama vingi licha ya 80% kuwa walikataa, so kuwepo kwa vyama vingi hakuwatishi CCM na ndio maana wamekuwa wakishinda kwa zaidi ya 80% kila uchaguzi, maana wengi walivikataa.

My take: It is rubbish kusema eti CCM ndio waliamua kuwe na mfumo wa vyama vingi, waliamua vile kwa kuwa hawakuwa na chagua, wimbi la mabadiliko lililokuwa limeikumba Afrika miaka ya '90 liliwalazimisha wakubali, kama ingekuwa ni hiari yao wasingekuwa wanacheza rafu zote hizi tunazoziona sasa na katika kila uchaguzi tangu ule wa kwanza wa mwaka '95!
 
(Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, Bwana JK alisikika akisema:
"Oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. CCM itashinda kwa kishindo" )

Mungu wangu tumeshaibiwa!!!! Tunusuru na wizi huu ewe muumba wa mbingu na ardhi
prepare your gun or spear cause the results will not be on your favor.
 
Wamsuse mara ngapi? Kabaki akifanya kampeni peke yake na Familia yake. Prince Ridhi1 ndiyo kanusurika kichapo Iringa. Yeye kazomewa. Chadema mumpandishe Kizimbani Salma na Kinana kwa kuleta Risiti feki kuwa wamelipia ndege. Hii ifanyike haraka sana ili kuwaziba kabisa hawa watu waache kutumia mali za Watanzania katika kampeni za Kifamilia.

Mhh hawa watasuswa !
 
Kuzomewa kwake kume prove failure ya safari yake aliyoianza 2005. Utitiri wa ahadi hewa and all those vimechosha wananchi na sasa wameamua kufanya mapinduzi ya kisiasa. Say BIG NO to him on 31st October, 2010.
 
Katika moja ya Mikutano yake kanda ya Ziwa, Rais anayeondoka madarakani Bwana Jakaya Kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu kwa Watanzania.

Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, Bwana JK alisikika akisema:
"Oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. CCM itashinda kwa kishindo"

Wakati akiendelea kutetemeka jukwaani kwa kuaibishwa, baadhi ya Wananchi walikuwa wakiondoka kwenda kutafuta 'mkate' kwa ajili ya familia zao.

Habari ni nzuri lakini mbona iko nusu nusu? Sema mkutano ulikuwa sehemu fulani tarehe furahi... hofu ya nini...
 
Niliwahi kuuliza hawa CCM wanategemea kura za nani ili washinde wakati wafanyakazi walipoambiwa kuwa kura zao mwenyekiti wao hazihitaji na sasa kwenye midahalo ambako wananchi wanataka kujua nini watafanyiwa hawataki kwenda sasa nani atawapigia kura za kushinda kwa kishindo?
 
chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!
Karibu sana jukwaani TANZANIA KWANZA. Source ni taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku ITV.
 
Jinsi CCM wanavyoendesha mikutano yao ya kampeni wanastahili more than kuzomewa. Kukusanya watoto wa primary ambao hata hawana umri wa kupiga kura!!! Means wao hawajui umuhimu wa elimu. Lol!

Mikutano imejaa ubabe, ulaghai, ufedhuli, unafki, wizi wa fedha za Wtz (ufujaji) uongo, hila, point less na upupu mwingiiiii. Wamezomewa ila kwa mimi nikiwaona I am sure nitachemsha maji ya moto niwamwagie cause wanaboa sanaaaaaaaaa!!! Ole wao wapitie anga zangu..
 
Back
Top Bottom