Baada ya Kutupima viatu 2010(wana JF)

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana Jf,baada ya VYAMA VYA SIASA(CCM,CDM,NCCR,CUF) kutupima viatu 2010,mda si mrefu (2015) vitarudi tena na kutuuliza swali "hivi wana JF mlikuwa mnataka viatu vya SAIZI gani vile?“



kwa mfano sasa umeulizwa swali hilo na ukizingingatia MCHUNGA PEKU HAPENDI,ILA HANA VIATU utamjibu vipi mwana (CCM,CDM,NCCR,CUF) akitaka kura yako?
 
Back
Top Bottom