Baada ya kutochakachua kwa Zaidi ya mwaka sasa sijui nianzie wapi?

Hivi kwani mnakereka nini alivyosema ametoka ng'ambo?
Naona mmeshupalia hapo utafikiri nini?
Angesema ametoka mpwapwa anakuja dar najua msingemkomalia.
Muacheni jamani, hiyo ni sehemu ya maelezo yake na naona imekuwa muhimu ndio maana tumekazia macho hapo.
Ni mtazamo wangu tu, atakayekwazika basi.
Nitafute nikupe zawadi yako maana nasema ukweli wangu wanataka nieleze maendeleo gani ya Ng'ambo wakati JK mwenyewe kila siku anakwenda ng'ambo na ameshindwa kutusaidia.......
 
Umeona watanzania tulivo na mawazo mgando eehe!? Huyu 2namwita msomi, katoka TZ mpaka India kwa pesa nyingi aidha za babake au za Taifa afu anawaza utumbo! Taifa litafaidika nini sasa kutokana na huyu msomi asiyekuwa na mtizamo chanya? Jiangalie wewe, zinduka.
haya ni mambo ya jamii sipaswi kuwaza mengine wakati haya niliyonayo bado sijamaliza kama ni maendeleo nitawaza ulitaka niseme nini nakuja kufungua hospitali?
 
Zipu bwana express ur self. Nimependa uwazi wako sio kuficha wakati unachotaka kinawezekana kupatikana.
 
Njoo kwangu nikufundishe kwa vitendo, wala usihangaike kusoma ushauri wa members humu.
 
haya ni mambo ya jamii sipaswi kuwaza mengine wakati haya niliyonayo bado sijamaliza kama ni maendeleo nitawaza ulitaka niseme nini nakuja kufungua hospitali?

Ungenena unakuja fungua hospitali ningekusifia kweli,lakin hili la kuomba ushauri wa kufanya ngono mmm umepotea! Au ndicho ulichoenda kujifunza ng'ambo? Coz sikuelewi!!!
 
Hivi kwani mnakereka nini alivyosema ametoka ng'ambo?
Naona mmeshupalia hapo utafikiri nini?
Angesema ametoka mpwapwa anakuja dar najua msingemkomalia.
Muacheni jamani, hiyo ni sehemu ya maelezo yake na naona imekuwa muhimu ndio maana tumekazia macho hapo.
Ni mtazamo wangu tu, atakayekwazika basi.

nyamaza wewe unaongea nini?unaleta kikwapa na kichefuchefu hapa.tpuuu...!!
 
Back
Top Bottom