Baada ya kutochakachua kwa Zaidi ya mwaka sasa sijui nianzie wapi?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,053
653
Ni zaidi ya mwaka sasa nilikuwa Nchi za watu hakika nilikuwa katika wakati mgumu sana kila nilipojaribu wenyeji wa huku kweli walikuwa ni wachoyo kupita kiasi na hata mimi niliogopa sana hata kupoteza kichwa changu maana hawa jamaa wakijua unamahusiano na Dada zao huwa wanakuwa na wivu kiasi waweza hata kukudhuru.
Sasa nategemea kurudi Tanzania kesho najiuliza nitaanzaje maana naona kama nimesahau vile ? Je nifanye nini ili niweze kwenda sambamba na uchakachuaji siku hiyo? hakika najiuliza maswali mengi nakosa jibu kama mnakumbuka nilishauliza kuna madhara yoyote yale naweza kupata kama sito fanya mapenzi zaidi ya mwaka?
Naomba ushauri wako mwana JF najua unaweza kunishauri vizuri ili nisije jikuta nipo matatizoni naweza kukurupuka nikajikuta naumbuka au hata kupata magonjwa kwa usongo nilionao.
Nawasilisha kwenu
 
Sasa nategemea kurudi Tanzania kesho najiuliza nitaanzaje maana naona kama nimesahau vile ? Je nifanye nini ili niweze kwenda sambamba na uchakachuaji siku hiyo? hakika najiuliza maswali mengi nakosa jibu kama mnakumbuka nilishauliza kuna madhara yoyote
yale naweza kupata kama sito fanya mapenzi zaidi ya mwaka?
Naomba ushauri wako mwana JF najua unaweza kunishauri vizuri ili nisije jikuta nipo matatizoni naweza kukurupuka nikajikuta naumbuka au hata kupata magonjwa kwa usongo nilionao.
Nawasilisha kwenu

Habari ya Mumbai banyaa? Veve natongosa nanyimwa? Kuja Tz vevee!!
 
pole mkuuu ungeanzia pale corner bar for beginners then utapata kasi kadri muda unavyokwenda....
 
Ni zaidi ya mwaka sasa nilikuwa Nchi za watu hakika nilikuwa katika wakati mgumu sana kila nilipojaribu wenyeji wa huku kweli walikuwa ni wachoyo kupita kiasi na hata mimi niliogopa sana hata kupoteza kichwa changu maana hawa jamaa wakijua unamahusiano na Dada zao huwa wanakuwa na wivu kiasi waweza hata kukudhuru.
Sasa nategemea kurudi Tanzania kesho najiuliza nitaanzaje maana naona kama nimesahau vile ? Je nifanye nini ili niweze kwenda sambamba na uchakachuaji siku hiyo? hakika najiuliza maswali mengi nakosa jibu kama mnakumbuka nilishauliza kuna madhara yoyote yale naweza kupata kama sito fanya mapenzi zaidi ya mwaka?
Naomba ushauri wako mwana JF najua unaweza kunishauri vizuri ili nisije jikuta nipo matatizoni naweza kukurupuka nikajikuta naumbuka au hata kupata magonjwa kwa usongo nilionao.
Nawasilisha kwenu

Apo kaheso baiya?achaee?tike?
Welcome Back home..home sweet home.
 
Kwa hiyo unaturingishia kuwa ulikuwa ng'ambo. Ulikuwa india sehemu gani mkuu. Nakumbuka sana thread zako, mara sija do muda mrefu, mara nikirudi tz nisome magazeti gani, leo umeibuka na hii ya kutokuchakachua. Mh
 
bora ukae hivo hivo manake utapokelewa na ngoma na kuibiwa kilakitu chako hadi passport ndugu. Mtumaini Mungu alokulinda...waza maendeleo sio uwaze ngono we wawapi wewe????? nlidhani utasema umekuja na pesa tukushauri wapi ukanunue kiwanja ujenge kibadna au kuongeza we unadai utapata wapi ngono? kweli we ni nyau kabisa.
 
Waafrika ndivyo tulivyo!badala ya kuuliza ni kitu gani ulichoona huko kipya kiwanda etc, uje uwekeze bongo wewe wauliza ngono
 
Nchi za watu wachoyo, bongo unagongea tu kama sigara. Asalama leko walaah. Hata bongo kulishabadilika wachoyo mbaya, itabidi uvumilie mwaka tena ukiwa unatafuta wako wa ukweli.
 
Habari yake huyu mtu duuuh!
Mmmh!
Aiseeee!
Olalaaaa!
Nitarudi b'dae zipu.
 
Kwa hiyo unaturingishia kuwa ulikuwa ng'ambo. Ulikuwa india sehemu gani mkuu. Nakumbuka sana thread zako, mara sija do muda mrefu, mara nikirudi tz nisome magazeti gani, leo umeibuka na hii ya kutokuchakachua. Mh

Mkuu nadhani sio one and the same huyo wa magazeti ni mwingine...
 
mmnh JF kwa mashushu...sometimes?.....zipu njoo uexperiment na kujifunzia kwangu mwaya.:coffee:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom