Elections 2010 Baada ya kushindwa atolee uso wake wapi?

Kibunango,huoni kama kazi ya Mkjj na wanaharakati wengine imeleta matunda makubwa?KWa upande wangu mm chadema/upinzani haijashindwa.Hata JK amekiri baada ya kuapishwa kuwa upinzani umeleta changamoto (ambayo haikuwepo hapo kabla), na amekiri kabisa kuwa itabidi CCM igangamale!Huoni kama mabadiliko yameanza kunukia? Na CCM isipokaza buti, mchanga wa pwani huooooooo
 
Sijui "ushindi" watu wanautafsiri vipi na kushindwa ni vipi? Hivi kweli kuna mtu timamu mwenye uwezo wa kufikiria ambaye anaweza kusimama na kutuambia kuwa "CCM imeshinda" katika uchaguzi huu na CHadema "wameshindwa"? Vinginevyo itanibidi nitoe somo la 101 juu ya nadharia ya kuelewa ushindi wa Chadema na kwanini CCM wamekataliwa na wananchi. For now, nafurahia tu demokrasia ilivyotikisa malango ya watawala wetu.
 
Kwanini tujadili wachangiaji badala ya wanachochangia?

Mzee Mwanakijiji ni nani katika jamii?

Anasomwa na Watanzania wangapi?

Ana mu influence nani?

Mawazo yake yana mamlaka gani, ana utaalam gani katika analoliongelea?
 
Kwanini tujadili watu?

Mzee Mwanakijiji ni nani katika jamii?

Anasomwa na Watanzania wangapi?

Ana mu influence nani?

Mawazo yake yana mamlaka gani, ana utaalam gani katika analoliongelea?

hizi ndizo hoja.. maana inabidi ushangae nina ujiko gani maana hata uenyekiti wa kijiji sina!
 
Sijui "ushindi" watu wanautafsiri vipi na kushindwa ni vipi? Hivi kweli kuna mtu timamu mwenye uwezo wa kufikiria ambaye anaweza kusimama na kutuambia kuwa "CCM imeshinda" katika uchaguzi huu na CHadema "wameshindwa"? Vinginevyo itanibidi nitoe somo la 101 juu ya nadharia ya kuelewa ushindi wa Chadema na kwanini CCM wamekataliwa na wananchi. For now, nafurahia tu demokrasia ilivyotikisa malango ya watawala wetu.

mimi naelewa where you are coming from lakini elewa kuwa watu wengi wana hamu ya kuona ccm ikishindwa kwenye uraisi kwa sababu it is the ultimate prize. Hali hii huenda ikawa inasababishwa na imani na matumaini ya kwamba tukiwa na raisi asiye wa ccm basi uwezekano wa kuelekea kwenye mwelekeo mwingine ni mkubwa zaidi. But when the chief executive is from the party that has been at the helm for nearly half a century, all we can expect is more of the same. Nothing more, nothing less
 
NN.. ni sawasawa na democrats ati waanze kutamba kuwa mid term elections yao wao wameshinda kwa vile Christine na Angle wameshindwa? Na ingekuwa kichekesho kuwa Obama angesimama na kusema kuwa democrats wamefanya vizuri sana kwa vile tu GOP haikuchukua seneti!
 
Back
Top Bottom