Elections 2010 Baada ya kushindwa atolee uso wake wapi?

Ujifunze kuona na kuishi kwenye ukweli na sio kuishi kwa ndoto za mchana (Alinacha)

Kibunango wewe unajua in the heart of hearts kuwa Jakaya ameiba uchaguzi huu na ndio maana hata nyie mashabiki mmeshindwa kuselebukia ushindi huu kama ilivyo desturi yenu!!
 
Tunawahitaji watu kama Mwanakijiji angalau nusu ya media zote hapa TZ ili tupige hatua otherwise unachuki binafsi
I LIKE THOSE WHO POST ISSUES TO MAKE ME THINK CRITICALLY AND REALIZE THE TRUTH.
Bigup MKJJ
 
Alishabikia CCJ kabla ya kuelekeza nguvu zake Chadema... mbaya zaidi kashindwa kote huko!

mkapa%20%26JK.jpg
Thread nzuri ila inafaa kulee celebrity forum
 
Tufanyagaje sasa?

Ukiwa kwenye mtumbi unaonazama hata kama bua likionekana basi unaweza kudhani linaweza kukuokoa. CCJ ilionekana kuwa ni moja ya dalili ya gogo linaloelea kwenye mtumbwi uliokuwa unaelekea kuzama. So mwanakijiji was being realistic.
 
Mimi naona kuwa hii ndio Demokrasia...unatafuta mabadiliko mahala, in case hapatoshelezi unasonga mbele unakoona kunaeleweka!
Tatizo liko wapi?...Juu ya kushindwa CHADEMA, kama utaacha mambo mengine yote kuwa constant, kushindwa ni sehemu ya mchezo, maana angeshinda CHADEMA, nyie mngepoteza!
Tuwe wapole tu!
:smile-big: Wamwache apumzike mzee wa watu! Ni kama mechi za mpira kuna watu waliwahi kuhamia Bolton baada ya timu ya kufululiziwa vipigo! Hivyo basi nae alipata mbadala wa kisichokuwapo. BTW: SIASA ZA TANZANIA WATU WANAFUATA MASLAHI:smile-big:
 
wewe malaya mchafu usinifuatilie kabisa, tena ukiona post zangu toka nduki, unanuka na utaishia kuuza tu kojoleo kwa mafala kama wewe mimi sina mpango kabisa na wanuka mikojo, nyambafff bahati yako mbaya mimi na wewe tunaweza kuhamishia huu ugomvi nje ya hapa nadhani unajua nachomaanisha..malaya mchafu

Sasa wewe unaanzisha ugomvi hapa alafu una suggest muhamishe.
Kuwa na staha kidogo Mwana CCM unatakiwa kuwa kama JK usiwe mtu wa visasi.
 
Sasa wewe unaanzisha ugomvi hapa alafu una suggest muhamishe.
Kuwa na staha kidogo Mwana CCM unatakiwa kuwa kama JK usiwe mtu wa visasi.

kuna watu hata staha hawastihili huyu deodat ni mmoja wao, pole kwa kukukwaza mkuu.
 
Hajavunja Sheria wala hajashindwa kuifuata Katiba, Katiba inampa uhuru wa kutetea na kusimamia kile anchokiamini , Mradi asivunje sheria, Kwa kuwa yeye ni Mwanamapinduzi wa kweli, yuko huru kutoa mawazo yake, kama wewe.

mnataka akae sehemu moja kama amekamatwa akili? Au mnadhani IQ yake imestack kama yako? Yeye daily anafikiri ndo maana akili inapanuka ayo ndo maendeleo"Progressive thinking" nyie naswa tunduni,yeye mjanja amekimbia.
 
Kwa sasa amekaa na list ya ahadi za Kikwete anajiandaa kuanza kutick moja baada ya nyingine.

Kufikia mwisho wa miaka hii mitano atakuwa ameshatick zote, hopefully! Siamini kama ulikuwa ni usanii, he looked so serious!
 
Back
Top Bottom