majuto mperungu01
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 115
- 21
Naomba wakuu msinireport tena kwa mods kwa sababu ban ni mbaya sana
Hahahahaah! Karibu sana jamvini, ID yako ya mwanzo ni ipi?Naomba wakuu msinireport tena kwa mods kwa sababu ban ni mbaya sana
Mkuu karibu tena
Duh!!! Pole sana na BAN, tena ya mwaka mzima. Karibu tena Mkuu. Kufanya kosa si kosa ila kurejea kosa ndio kosa. Natumai umejirekebisha.
Karibu sana JF mkuu.