Baada ya kupata majani...

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Baada ya kuvuta msuba wa kutosha,mvuta bangi alijikuta akichukua kioo na kukitazama.Yule mvuta bangi alishindwa kuitambua taswira aliyoiona kwenye kioo,akaamua kumpa kioo mvuta bangi mwenzie ili amsaidie kuitambua taswira iliyomo kwenye kioo.Mvuta bangi wa pili akakiangalia kioo kwa umakini kisha akamjibu mwenzie;"hiyo taswira ambayo uliiona kwenye kioo ni sura yangu mimi!".
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom