Baada ya kuondolewa Uwaziri, Ngeleja akamuombe Msamaha mlinzi wa benki aliye mfukuzisha kazi

Njoka Ereguu

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
821
335
Bw. Ngeleja akiwa waziri alitamani na aliamini kila mtu ni lazima amtambuwe kuwa yeye ndiye Waziri hata pale anapokiuka taratibu za kazi kwa tasisi zingine. Kumbukeni alivyosababisha kumfukuzisha kazi mlizi wa benki moja aliyemwambia hairuhusiwi kuongea na simu kwenye ATM.
 
As far aa I am concerned kilichomfikisha hapo Njeleja ni hilo sakata. Chozi la myonge bana ni sala yenye nguvu mno na Mwenyezi Mungu hawezi katu kuifumbia macho.
 
Matukio ya huyu Ndg ni mengi. Nadhani Tanesco walipata cha moto chini ya uongozi wake.
 
hataomba radhi maana kile huitwa kiburi cha uzima.mnakumbuka yule mheshimiwa aliyegaragazwa huko Mwanza akaondoa furniture kwenye ofisi ya Mbunge?Hawa shuleni walienda na vishahada walipata lakini ushamba na maisha ya ngumi mkononi yalibaki pale pale-Nachelea kutoa rai kuwa hawakuelimika!.Wewe Waziri gani anaenda kwa ATM halafu anapiga simu isiyoisha akijua wateja wengine wanasubiri na hakuna VIP status kwenye ATM?
Mheshimiwa Ngeleja sasa ni wakati wako wa kuokoka na kumpokea Yesu kuwa BWANA wa maisha yako,ukamtafute yule mlinzi umwombe radhi na pengine MUNGU ataghairi ili unusurike jimboni 2015,vinginevyo imekula kwako,laana iko juu yako Mheshimiwa!
 
Hana haja ya kufanya hivyo, bado JK atamkumbuka na kumweka kwenye ulaji zaidi.
 
As far aa I am concerned kilichomfikisha hapo Njeleja ni hilo sakata. Chozi la myonge bana ni sala yenye nguvu mno na Mwenyezi Mungu hawezi katu kuifumbia macho.

Mheshimiwa kumbuka ni wapi ulipoanguka ukatubu. Tatizo kubwa ni kiburi kumbuka ulipoyang'oa mabango ya kanisa kwa kiburi. Mheshimiwa wenye kiburi hushushwa na hupata aibu. Ndugu yangu YESU anakupenda.
 
Hapa patamu, sijui mke wake hoyce temu analiajee sasa hivi, maskini uwiiiiiii, na kazaa nae uyo ruby ngeleja........ Amezoea kutembelea W NM sasa T 000 BZZ
 
huyu jamaa namkumbuka siku moja aliingia ndani ya benki moja hapa tanzania tawi la mwanza, akatukuta tumepanga foleni hadi mlangoni kisha akanyooka hadi kwa teller na kumuamuru amlipe ye hawezi kupanga foleni, teller akamwambia utaratibu ni foleni FIFO, akamjibu we kijana hujui mi ni nani? naweza kukufukuzisha kazi? teller akamwambia huwezi kwani mi nafuata utaratibu, Mr minister akaenda kwa manager.kilichoendelea hatukujua isipokuwa tulimuona akiondoka baada ya dakika tano akiwa kahudumiwa kwa mlango wa nyuma, nikajua kijana hana kazi.but kijana hadi leo namuona pale anagonga mzigo. SHAME ON HIM
 
Nakumbuka tukio lile, nilisikitika sana juu ya uonevu ule
 
Hapa patamu, sijui mke wake hoyce temu analiajee sasa hivi, maskini uwiiiiiii, na kazaa nae uyo ruby ngeleja........ Amezoea kutembelea W NM sasa T 000 BZZ

bado kidogo atatembea na Tized ileven
 
Watanzania kwa kupenda kuongelea watu na si kuongelea maendeleo, haki kabisa mna laana. Msijifanye nyinyi ni malaika msiokuwa na makosa au nyinyi ni miungu wa kutolea hukumu maandiko ya magazeti ya udaku?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom