Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Aug 1, 2012 #1 ...njemba ikasema,"hamna noma,nyie si mnaringa na msiba wenu,na mimi nitafiwa tu".
Bundewe JF-Expert Member Jun 14, 2011 400 141 Aug 1, 2012 #2 Du! nimecheka sana!!! Jamaa anaona kufiwa dili!!!!!!!!!!!!!!!
Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Aug 1, 2012 Thread starter #3 Bundewe said: Du! nimecheka sana!!! Jamaa anaona kufiwa dili!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... Njaa mbaya saana!
Bundewe said: Du! nimecheka sana!!! Jamaa anaona kufiwa dili!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... Njaa mbaya saana!
M MAMENGAZI JF-Expert Member Dec 31, 2010 780 128 Aug 1, 2012 #6 ha ha ha atakua anaomba afiwe ili awakomeshe waliomnyima msosi lol!!!
Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Aug 1, 2012 Thread starter #8 MAMENGAZI said: ha ha ha atakua anaomba afiwe ili awakomeshe waliomnyima msosi lol!!! Click to expand... Bangi tu,hajui anachokiongea!
MAMENGAZI said: ha ha ha atakua anaomba afiwe ili awakomeshe waliomnyima msosi lol!!! Click to expand... Bangi tu,hajui anachokiongea!
A ayoub Member May 6, 2008 10 1 Aug 1, 2012 #9 duhhhh,,iyo noma sana,,yaani mbavu sina,jamaa anaomba kufiwa?
KML JF-Expert Member Apr 2, 2012 861 133 Aug 1, 2012 #13 uyo lazma atakua nape udogoni hahaaaaaaaaaa...
Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Aug 2, 2012 Thread starter #15 Mshuza2 said: Mkuu nimecheka sana! Thanks. Click to expand... thanks too!
M MBURE Member Aug 13, 2011 27 2 Aug 2, 2012 #17 wengi wangewaza kulipiza kisasi lakini kosa lake ni kutamka mawazo yake
mchemsho JF-Expert Member Jun 8, 2011 3,212 867 Aug 2, 2012 #18 Jaguar said: ...njemba ikasema,"hamna noma,nyie si mnaringa na msiba wenu,na mimi nitafiwa tu". Click to expand... mara kesho yake akafa mwenyewe, walikula ni aje
Jaguar said: ...njemba ikasema,"hamna noma,nyie si mnaringa na msiba wenu,na mimi nitafiwa tu". Click to expand... mara kesho yake akafa mwenyewe, walikula ni aje
Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Aug 3, 2012 Thread starter #19 mchemsho said: mara kesho yake akafa mwenyewe, walikula ni aje Click to expand... Ataacha wosia kwamba fulani na fulani wasitie kwato msibani nikifariki.
mchemsho said: mara kesho yake akafa mwenyewe, walikula ni aje Click to expand... Ataacha wosia kwamba fulani na fulani wasitie kwato msibani nikifariki.