Baada ya kungojea sanaaa hatimae 2 marriage proposals at par!!!! Maamuzi magumu yahitajika!!!

Kwani yeye anampenda nani?kama anampenda mjeda abaki nae ila asiende kwa mr gvt kwaajili ya pesa na hana hisia nae
 
no offense!nasikitika ktk maisha yangu sijawahi kumuona mjeda ambaye ninaweza kumuelezea kama mfano wa mume bora wa kuigwa ktk jamii!

n.b nieleweke kuwa nimesema sijawahi kuona na si vinginevyo!
 
Hapo sioni pasua kichwa ya kufikiri, mwanamke mjanja anakuwa na plan b, hebu mshitue mwenzio its 2012. Huyo Mjeda bado hana dalili, ni bora tu asambae, si kwa ajili ya pesa bali in 4yrs hakuna hata barua for sure he will never do it, pili biological clock is ticking, kama anatabia za kueleweka, she has all my blessings
 
Back
Top Bottom