Baada ya kungojea sanaaa hatimae 2 marriage proposals at par!!!! Maamuzi magumu yahitajika!!!

Nadhani itakuwa bora awe open na mjeda amwambie kwamba kuna m2 yuko na serius intention kwake. Kama alikuwa anamstring along, atajua tu...kama yeye atakuwa anamwambia safi tu basi settle nae etc. You will just know - Psychology 101.

Weeeee! Wajeda wa bongo kwa visaaa! Hawashindwi kumvamia Mr. Gvt na kumbonda bila sababu. Ukitoka na Mjeda unamuacha kimya kimya!!!!
 
lara 1 in my opinion amngoje mjeda..ila si kumngoja in silence..let them talk n talk openly...
Na yy aache upole wake awe sirias demandng ansaz from Mjeda..
Ths mr. Gvt gvs me worries...
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa kuruta au MP si ndo maana anakazana kusoma ili apandeee!

lara 1 jeshini hakuna cheo cha MP na yupo kazini tayari haitwi Kuruta,labda unambie ni Private..Duuh form 6 wa zaidi ya miaka minne iliyopita kaingia jeshini mpaka leo awe Private?
 
Last edited by a moderator:
Amani iwe kwenu wadau!!!!! (Wakubwa zangu shikamooni japo mwaitikia kimya kimya)

Leo bwana naleta MADA VERY SERIOUS!!! NAOMBENI NA NYIE USERIOUS WENU SABABU SOMEBODYS FUTURE HAPPINESS DEPENDS ON IT!!!!!

Hii sio stori, ni real life kabisa!!!!!! Ukicoment kumbuka somebodys feelings are involved!!!

Kuna dada mmoja, rafiki yangu si sana ila tunaelewana, na tumesoma wote! Kwa ufupi huyu dada ni Msabato SAFIIII! Hana kona kona hata kidogo,pamoja na JISHEPU lake, Masogange haoni ndani! mcha Mungu sanaaa (ananiombeaga hata mie!! LOL!) mpole sana, wala si msemaji hata kidogo (Alikuwa mwokozi wetu wa kufanya miassigment yote mwenyewe bila kulalamika). Katika watu wa chache wa duniani ninao expect huenda wakaiona MBINGU mmoja wapo ni huyu binti! VERY WIFE MATERIAL!!!! LOL!

Pamoja na kukaa sana na sie WAZEE WA AK 47!!! LOL! Hakubadilika hata kidogoo! Na mda wote nimemjua tokea 1st year alikuwa na mtu wake mmoja tu MJEDA!!! Sasa Mjeda ALIAHIDI KUMUOA MAMBO YAKIKAA VIZURI! Na hiyo ahadi aliitoa 1st year. Wanapendana sana kwakweli, ila kwa mtizamo wangu Mjeda anamfuja dada wa watu, manake ndio hata kama maisha hayako poa, HAMPAGI HATA MIAAA! CHEZEA WAJEDA WEYE!!!! Hata akimuomba hapewi, ila katika malovee mengine yuko poa, full masimu,sms,kutembeleana n.k Tatizo NDO HUO UBAHILI KUPITILIZA. Wamekaa na Mjeda 4 years, bado ANAKUMBUSHIA AHADI YA NDOA ILA NDO HASEMI LINI!!!!! ANABAKIA ANY TIME T!!!!! Haya kalipe basi MAHARI, wapiii! ila kiukweli maisha ya Mjeda hayapo vizuri, sababu ANA MKOPO WA KUJISOMESHA hivo mshahara unakatwa sanaaa, alafu familia na ukoo vyote vinamuangalia yeye kama tumaini lao. Na Bi dada hajapata Kazi bado!!!

Sasa mwaka huu mwanzoni, kwenye Kongamano, bi dada kakutana na MPENDWA mwengine, huyu anafanya kazi serikalini, na kamzidi kidogo angalau 5 YRS, alafu anamjali sana, MPAKA KAMTAFUTIA MASTERS ASIKAE NYUMBANI na Degree yake, anamlipia full! Hela ya losheni si haba anapewa, yaani chopping is not an issue! (Ndo nayopenda mie hayaa!) Sasa huyuMr. Gvt ANATAKA KUTOA POSA ASP ACHUKUE MZIGO JUMLA JUMLA! Anachongojea ni GO AHEAD TUUU! ya bidada.

Nyie wana JF hapa ndo mnaingia kwenye picha! Mi sijashauri sababu ushauri wangu ni BIASED unaendekeza BRIGHT FUTURE TO BE INVOLVED!!! LOL!!! Japo smtms you have to think outside the box! Bi dada BIOLOGICAL CLOCK INAGONGAAAA! Alafu wanaume wenyewe waoaji ni wakutafuta kwa manati. Dilemma yake ni kuwa Mjeda huenda alishaamua hamuoi wala nini, 4YRS hakijaeleweka!!!! Akibugi step akamngoja ITAKULA KWAKE!!! Au mjeda mambo yake hayajakaa poa, yakikaa poa atamuoa. Je huyu mbaba mbona anawahi kumuoa? Je akiolewa na Mr. GVT ataweza msahau Mjedaaaa!

TOENI USHAURI TULE HARUSI WENZENU!!!!!! LOL!

Unadhani! alimpataje wengine washindwe?

Mie nishakula ma sista wacha huyo.
 
lara 1 jeshini hakuna cheo cha MP na yupo kazini tayari haitwi Kuruta,labda unambie ni Private..Duuh form 6 wa zaidi ya miaka minne iliyopita kaingia jeshini mpaka leo awe Private?

Hahahaaa! Bwanaaa wale mkononi WAVAA KITAMBAA CHEUPE MP ni cheo gani? Mi sijui sana, ila jeshini si unajua bila kubebwa bebwa ni nomaaa!
 
Hahahaaaaaaa! Acha mambo zako bana! Hapana aitwi rachel ila Rachel namjua pia, ila case yake tofauti!!!! Wasabato kwa kujuana siwawezi.
tena anaishi ukonga kule bishaaaaaaaaa lara 1
 
Last edited by a moderator:
Huyo dada afuate hisia zake swala la kuoa au kuolewa huja automatic. Na pia aongee na mjeshi future yao iko wapi? Mjeshi ana matatizo kuoa sio lazima huwe na uwezo. Mdogo wangu alioa hata kazi hana mishe mishe za hapa na pale. Baada ya kuoa milango ilifunguka
 
Nilivyokuwa naogopa kuishi na stranger...ningemsubiri tu huyo wa miaka minne.

Si wote walikuwa wanafunzi bana...hiyo miaka 4 ni justifiable; ndoa si kitu cha kukurupuak.

Mume wangu tume date miaka 4 na tukaja oana; mambo ya kuanza ku mstudy mtu huku umeshajiweka kwenye kifungo cha ndoa ni very risk. Atajajuta na kumkumbuka mjeda wake.

Unakuta mtu anasimulia vituko vya mumewe mpaka unashangaa alimuokota wapi...kumbe ndo mambo ya kukurupuka na kutema big jii kwa karanga za kuonja.

That's why I like nyumba kubwa, superb advice
 
hakuna hata mmoja anayemfaa hapo.

Mwanamme anayemfaa mwanamke kuwa mume atamtambua tu, sidhani kama huwa kuna kusita au kuchanganyikiwa.

Ale maisha akatafute mme kwingineee.

upo sahihi kabisa jamani kuna wanaume wengine ukishamjua tu unatamani awe wako wa maisha
so bi dada anajaliwa na mgvt,anapendwa mpaka proposal bado hajaamua? tu ukiona hivyo ujue kuna vikasoro ambavyo LARA1 havijui
either mgvt hamfikishi au kibamia na yeye keshamzoea mjeda dude kubwa na anafikishwa sana
mpaka kumvumilia miaka yote hiyo na shida za dunia
usikute hata yeye alikuwa anamuhonga mjeda
wasichana wengine bwana!!!!
ila hiko kidada kifala kweli mjini hapa yeye anapokea dudu tu hata faida hana loo
anachakaa tu hata faida hakuna na akifanya mchezo mjeda atamletea ukimwi sababu mwanaume kama hakupi(kukuhonga) wewe jua kuna mwenzako anayehongwa
 
Last edited by a moderator:
LARA1 mwambie abuy time kidogo asingizie kitu chochote kama miezi kadhaa mbele ili amsome vizuri mgvt ila kipindi hiko asimbwage mjeda maana anaweza kukosa wote(maana bidada inaelekea yeye penda mjeda sababu mjeda iko fanya vizuri dada)
akiona ameridhika na mgvt hapo amwambie apeleke posa na mjeda ambwage kwa nguvu zote
kwanza mwanaume gani unaingiza tu kumchosha mdada wa watu
hata pochi hufungui jamani we miaka 4 huna tu ila kitumbua unataka tena utakuta mjeda wivu juuu looo ptuuuuu
simshauri hata kidogo kwa mjeda
na wanaume wengine mjifunze hayo
mi janaume ambalo halina kitu hana nafasi kwangu wote wanalijua hilo
nitumie nikutumie ili hata siku tukimwagana hakuna wakumlaumu mwenzake
 
Last edited by a moderator:
Taratiiiibu!! NDO MAANA NIMESEMA WASBATO SAFIIII!!! HAWAMEGANI MPAKA NDOA!!!! (May be kisirisiri ila sidhaniii! I give them the benift of the doubt) We hayo ya KUMEGANA WAACHIE WENYEWE, Wee iangalie hivi, UNA MTU 4 YRS HAKUOI WALA KUTOA POSA!! ANATOKEA MTU YUPO SERIOUS NA WEWE, UTACHUKUA UAMUZI GANI NA WHY?

Speaking from experience, it happened to my brother, he had a girlfriend and they were deeeeeply in love, but bro hakuwa ready for marriage by then but he promised he will when he is ready. Mara akatokea jamaa akapropose kwa mwanamke na kuahidi kwenda kumuoa na posa ikapelekwa kabisa. You don't wanna know what happened but matokeo ni kwamba kwa sasa my brother got married to another woman na my ex shemeji hajaolewa hadi leo na uchumba wake na yule jamaa ulivanish.

I don't mean to scare her, maana this ain't prophesy that it'll have to happen, sometimes history hubadilika.
So, afuate moyo wake maana moyo siku zote hutabiri what comes next. Kama moyo wake umeridhia kwa Mr. Posho then achangamke.
NB: Wajeda wanapiga kung fu, angalia wasijemletea fujo baadaye...!:poa
 
kama ni kweli hii stori, na kama ni kweli kuna mhusika anaetaka ushauri, japo sidhani kama huyo dada hajaamua.

kama ingekuwa mimi nataka kuolewa, basi ningeolewa,
kama kweli ni msichana mwenye nidhamu na tabia nzuri, itakuwa rahisi kuishi kindoa na huyo mr Govt, kwani ni mtu mzima aliejipanga, hopefully si tapeli.
Huyo kaka wa ahadi, bado hajajitambua, na bado hajajua maisha hayaendi kwa ahadi, asijemdumbukiza kwenye shimo lake alilochagua la kuishi kwa ndoto tupu.
 
ajisikilizie mwenyewe, hata hivyo anabahati, kuna wengine japo wa kumtongoza,

hata wakumpigia kumwita ksi ksi ksi hayupo...na umri unagota 34, wanawake mngejua hayo unsingekuwa na dharau

na jeuri ya kupenda mawe

naishi na jirani angu wa TRA tumepanga nyumba moja, ana pesa balaa, wa kummega ndi hayupo, na mimi ndio naogopa kuliko ukoma

mwenzenu kila wikiend napigwa laki ya kujidai, lkn kuomba nipewe kinono ndio naruka kimanga
 
ajisikilizie mwenyewe, hata hivyo anabahati, kuna wengine japo wa kumtongoza,

hata wakumpigia kumwita ksi ksi ksi hayupo...na umri unagota 34, wanawake mngejua hayo unsingekuwa na dharau

na jeuri ya kupenda mawe

naishi na jirani angu wa TRA tumepanga nyumba moja, ana pesa balaa, wa kummega ndi hayupo, na mimi ndio naogopa kuliko ukoma

mwenzenu kila wikiend napigwa laki ya kujidai, lkn kuomba nipewe kinono ndio naruka kimanga

sidhani kama anakosa wa kupitisha muda,
ila level aliofikia wote mlipo mko nyuma sana, hamuwezi kummudu tena kama mpenzi, (woga/ infiriority complex/ uvivu/maneno yamkosaji)
ni maisha ya upweke kukosa mpenzi,

ila pia ni mapungufu sana ya wanaume, wanaogopa wanawake wa siku hizi.
Kuna post moja nimechangia leo, kuhusu mwanaume ni nani,
siku hizi wanaume wanapungua, sana pamoja na kufa mapema, pia na kukosa status ya mwanaume anaeweza kummudu mwanamke wa sasa,
Wanaume wa kutumudu ndio wamepungua sana!!!!
mnatuogopa
basi badala ya kujitahidi muwe juu, mnagombania wasichana wachache wasio na vipato na mali na upeo, au kutudhalilisha na kutusimangia mali na kisomo au kazi zetu

inasikitisha sana.
sasa tutakaposoma wote itakuwaje??
swali kwa kina dada tu ambao hawajikomiti kwa mwanaume
- je ukiambiwa uchague kuishi kindoa na mwanaume suruale (mwoga wa maisha/hajiamini/hana mipango kwa kiwango chako) yani wewe ndo umshikilie yeye na ndugu zake, au mwanaume ambae anataka usisome, usiwe na mitazamo yako, usijiendeleze kifikra uone kuwa yeye ndio kila kitu chako na hapo yuko level ya chini kabisa
au ukae bila mpenzi kwa sasa utachagua maisha gani?
 
sidhani kama anakosa wa kupitisha muda,
ila level aliofikia wote mlipo mko nyuma sana, hamuwezi kummudu tena kama mpenzi, (woga/ infiriority complex/ uvivu/maneno yamkosaji)
ni maisha ya upweke kukosa mpenzi,

ila pia ni mapungufu sana ya wanaume, wanaogopa wanawake wa siku hizi.
Kuna post moja nimechangia leo, kuhusu mwanaume ni nani,
siku hizi wanaume wanapungua, sana pamoja na kufa mapema, pia na kukosa status ya mwanaume anaeweza kummudu mwanamke wa sasa,
Wanaume wa kutumudu ndio wamepungua sana!!!!
mnatuogopa
basi badala ya kujitahidi muwe juu, mnagombania wasichana wachache wasio na vipato na mali na upeo, au kutudhalilisha na kutusimangia mali na kisomo au kazi zetu

inasikitisha sana.
sasa tutakaposoma wote itakuwaje??
swali kwa kina dada tu ambao hawajikomiti kwa mwanaume
- je ukiambiwa uchague kuishi kindoa na mwanaume suruale (mwoga wa maisha/hajiamini/hana mipango kwa kiwango chako) yani wewe ndo umshikilie yeye na ndugu zake, au mwanaume ambae anataka usisome, usiwe na mitazamo yako, usijiendeleze kifikra uone kuwa yeye ndio kila kitu chako na hapo yuko level ya chini kabisa
au ukae bila mpenzi kwa sasa utachagua maisha gani?
kama balaa, wengi wenu mnaacha kuwa optmistic mkiwa early 20s na mkijua wkati huo nima pweza mchanga mtamuu, ukigonga 34 hata kinono kimekuwa sugu, kama ni pweza kazeeka sio mtamu hahaha
 
Back
Top Bottom