Elections 2010 Baada ya kumtangaza wa CCM ameshinda Babati Mjini; Kura zinarudiwa kuhesabiwa UPYA!

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,476
4,250
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio one kura za ubunge, urais na udiwa ni Babati mjini zinahesabiwa upya....
 
Upuuuzi mtupu,

Kura zimekaa bila walinzi kwa zaidi ya masaa 24 na sasa zinarudiwa kuhesabiwa?

Are you kidding me?
 
mmmmh,nadhani hoja ya mwafrika ina ukweli maana sasa watakua wame chakachua vibaya kweli kweli,

Kwani tofauti ilikuaje mwanzo?
 
Upuuuzi mtupu,

Kura zimekaa bila walinzi kwa zaidi ya masaa 24 na sasa zinarudiwa kuhesabiwa?

Are you kidding me?

Nakubaliana na wewe. wameshafanyizi, hapo tutaonekana wajinga tu :A S angry:
 
Upuuuzi mtupu,

Kura zimekaa bila walinzi kwa zaidi ya masaa 24 na sasa zinarudiwa kuhesabiwa?

Are you kidding me?

Mi naona ni sahihi kabisa kurudia! kinachofanyika ni kuhakiki na kuhakikisha zina-tally, maana orodha za waliopiga kura zipo kitio kwa kituo, na matokeo yalisha bandikwa kwenye vituo sasa kama zipo zilizoongezwa (CHAKACHULIWA) msimamizi atawaeleza wana-BABATI zimetoka wapi.

Kumbuka Mh. Zitto amepigwa mabomu kwa sababu jamaa hawataki kurudia kuhakiki za kule Kigoma Mjini wakiogopa hazita-tally na matokeo halisi ya kwenye vituo.
 
Back
Top Bottom