Baada ya kumsikiliza Prof Tibaijuka mjengoni hii hapa safu yangu ya 2015

PauliMasao

JF-Expert Member
Nov 26, 2007
286
39
Wakuu, baada ya kumsikiliza Prof Tibaijuka jana jioni mjengoni nimeamini ana uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi. hii hapa safu yangu ya 2015.

Rais - Edward Lowassa
Waziri Mkuu - Prof Tibaijuka

Jaza nafasi zilizobakia.
 
Lowasa kwa utendaji mimi nampa A..lakini shida yake ni mambo ya hela tu basi ila kazi anaweza jamaa..mnyonge mnyongeni....anamzidi pinda mbaaliiii sana kabisa...
 
Mkuu sina tatizo na ubashiri wako unaoutamani utokee.
  • Mie nina mashaka na wewe na vigezo vyako ulivyotumia..
Yaani umeshawishika na maneno ya hotuba na kumuona tayari anafaa kuwa waziri mkuu?

  • Indicator yako ya utendaji wa kazi ni: Maneno mazuri! Aisee...........
 
Nchi ina watu millioni kadhaa wenye uwezo,
Ndani ya CCM kuna zaidi ya Edward Lowassa.

Mwaja na jina la Mwizi mzoefu Edward Lowassa.
Kawapa nini huyu mwizi?

Wajua kwamba Kiongozi wa Mafia pia ni mwerevu kuliko marais wa nchi nyingi duniani?
Afaa nini kama werevu wake ni Mtaji wa umasikini na mauti?

Ni Hizo $150,000.00 kwa siku??
Alotukomba kupitia kampuni ya Richmnd na baadaye Dowan??

Edward Lowassa ni Nuksi, sumu ya maendeleo na mwanzo wa utumwa mpya.

Lowasa kwa utendaji mimi nampa A..lakini shida yake ni mambo ya hela tu basi ila kazi anaweza jamaa..mnyonge mnyongeni....anamzidi pinda mbaaliiii sana kabisa...
 
Nchi ina watu millioni kadhaa wenye uwezo,
Ndani ya CCM kuna zaidi ya Edward Lowassa.

Mwaja na jina la Mwizi mzoefu Edward Lowassa.
Kawapa nini huyu mwizi?

Wajua kwamba Kiongozi wa Mafia pia ni mwerevu kuliko marais wa nchi nyingi duniani?
Afaa nini kama werevu wake ni Mtaji wa umasikini na mauti?

Ni Hizo $150,000.00 kwa siku??
Alotukomba kupitia kampuni ya Richmnd na baadaye Dowan??

Edward Lowassa ni Nuksi, sumu ya maendeleo na mwanzo wa utumwa mpya.

wenzio walishajiridhisha kuwa Lowasa hahusiki na Richmond cum dowans wewe bado inaweweseka hapohapo?, tafuta kisingizio kingine cha kumchafua la atawashangaza wote wenye mawazo kama yako..........................
 
Wakuu, baada ya kumsikiliza Prof Tibaijuka jana jioni mjengoni nimeamini ana uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi. hii hapa safu yangu ya 2015.

Rais - Edward Lowassa
Waziri Mkuu - Prof Tibaijuka

Jaza nafasi zilizobakia.

Rais - Dokta wa Kanoni Slaa
Waziri Mkuu - Rose Kamili

Waziri wa Fedha - Josephine
 
Wakuu, baada ya kumsikiliza Prof Tibaijuka jana jioni mjengoni nimeamini ana uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi. hii hapa safu yangu ya 2015.

Rais - Edward Lowassa
Waziri Mkuu - Prof Tibaijuka

Jaza nafasi zilizobakia.

Huo uchokozi....mi Dr.Slaa ndio Raisi na Mnyika waziri mkuu....
 
Mwajichanganya kwa mara ya pili.

Back
Top Bottom