Baada ya kumchakachua mwanamke, wanaume wengiii hupunguza speed ya mapenzi

weeh acha tu afu wanatusema eti tunaringa! sasa hapa mtu anakanyagia 2 yrs ndo anapewa 1st kiss, another 1 yr ndo nanilii! kama hutaki chapa lapa, kwani inaoza!?

Karne ya leo? Vocha ya Tshs 1,000 tigo kisshaeleweka.
 
weeh acha tu afu wanatusema eti tunaringa! Sasa hapa mtu anakanyagia 2 yrs ndo anapewa 1st kiss, another 1 yr ndo nanilii! Kama hutaki chapa lapa, kwani inaoza!?

chochote kisichotumika huoza lol
hata hiko pia lol
 
Hii ni kweli kabisa hasa demu akiwa msumnufu, mfano demu unamtongoza anajifanya anakataa huku anataka, pengine unaandaa hadi chumba anafika oooh mara niko hedhi leo haiwezekani, matokeo yake siku unambananisha afu unamtia ktk mazingira ambayo hayana hadhi ya kutosha, ukitoka pale huna tena hamu naye, afu unaanza kujiuliza alichokuwa anakataa nini. akiwa hajui mapenzi ndo kabisaaaa unamdisqualify kabisa. nawakilisha
 
Ni kweli kabisa hasa ukikuta siyo mtamu basi ndo hurudii tena
U r very right, hata sisi huwa tunawakimbia wanaume baada ya kuchakachuana, hasa ukikuta kidude chenyewe kiduchu, ubunifu zero, mijasho kibao hata deodorant hajui ni nini ppheewwww!Tunaanza visingizio kibao, hadi njemba linajua halitakiwi ndio linaanza kusagia mdada kumbe lenyewe ndilo limetoswa!
 
nyie ndo mnasababisha mademu kuangalia 'fungu' zaidi maana anajua ukishagonga tu hakuoni tena!
 
U r very right, hata sisi huwa tunawakimbia wanaume baada ya kuchakachuana, hasa ukikuta kidude chenyewe kiduchu, ubunifu zero, mijasho kibao hata deodorant hajui ni nini ppheewwww!Tunaanza visingizio kibao, hadi njemba linajua halitakiwi ndio linaanza kusagia mdada kumbe lenyewe ndilo limetoswa!
kwi kwi kwi tena mijasho ya kikwapa mmh mapenzi haya!kazi ipo!
 
kwi kwi kwi tena mijasho ya kikwapa mmh mapenzi haya!kazi ipo!
Umeona eenh; yaani kitu kama hicho naboreka haraka, utakuta jamaa mwenyewe anajifanya brotherman chupi anavaa siku tatu! Halafu linakazana kwa nguvu, mijasho kibao, assumption yake kuwa pumping ndio maujuzi! Guys sex kwa mwanamke bila romance na emotion ni sawa na bia bila Kitimoto, ndio maana jamaa zangu wa Moshi huamua kusoma gazeti tu!
 
Poeni, mimi kwangu wakionja ndio hawaruki, ninakuwa na kazi ya kuwabwaga... muulizeni baba Ngina!!!
 
Wanapenda uwavulie ch* *p* tu halafu wanaleta u-brazameni,hawaaminiki naona na wengine wanakazana na inbox pm huku.jamani Famii Forums
 
Poeni, mimi kwangu wakionja ndio hawaruki, ninakuwa na kazi ya kuwabwaga... muulizeni baba Ngina!!!
Una bahati kubwa, labda wasaidie wenzie wanaoachwa tena akionjwa mara moja mwanaume hageuki nyuma na cm not reacheable ww una mwonjeshaje baba Ngina hadi anang'ang'ania kama kupe kwako, plse mwaga maujuzi
 
aiwezi kuoza bali ukiifungia kwa muda inakuwa!
Ooohh yaahh halafu inakuwa kubwa na mashavu yanakuwa makubwa, it makes valley within a valley, then akifungua kitu hichooooo, tight kama haijachakachuliwa very nice
 
aaaah wapi! sidanganyiki, kwanza ndo inazidi kuwa mupyaa! law of use and disuse haipo hapa,lol!

I was just about to quote you this discovery by the late Great Darwin...what you don't use, withers!lol
If it applied to mikia waliyokuwanayo binadamu...y nt dat??? hahaha...
 
Ni kweli kabisa hasa ukikuta siyo mtamu basi ndo hurudii tena
Hivi unapozungumzia utamu wa demu hasa hasa unamananisha nini? Nijuavyo huwa na psychological imitation ndiyo huwa inawasymbua watu, kudhani mwanamke yupo vile kumbe yupo hivi! Hii ukiiendekeza inakusumbua hata kwa mkeo na hutaona mwanamke mzuri kwako katika maisha wote watakuwa wabaya.
 
Back
Top Bottom