Baada ya kumchakachua mwanamke, wanaume wengiii hupunguza speed ya mapenzi

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,650
16,270
Vuuuuuppp!!!!
Naongea kwa uhalisia & hisia, kwa kutumia uzoefu, Bujibuji ataongezea, wanaume wengi akisha do na demu, ooohh...!! ndio mwanzo wa kuanza kumpiga chenga demu mara kibao, especially akimla wengine hata mara moja ikiwa ndio mwisho, tena wanaume husema ningejua wala nisingehangaika vile, kumbe wala huyu demu hana lolote, sometimes kimoyomoyo bila kunena, ila kwa upande wa mademu ndio kama anaanza kupenda, anategemea mwanaume ampende zaidi, ataona jamaa haeleweki kabisa, mara too busy, hii ni kweli kabisa, ukisha mtia demu, mara nyingi wanaume wanaanza mbele, na kumwona mwanamke thamani si kubwa kama kabla ya kumpata kwa sex, that is it
 
Ni kweli kabisa! Wanaume wengi wanakuwa na ma-speed ya kumfuatilia demu, lakini wakishaonja basi. Tena wanamuona demu ndiye msumbufu pale anapopiga simu au kutaka waonane.
 
usemayo ni kweli kwa asilimia fulani, nishawah kumtia demu mara moja nikampotezea kabsaa ingawa yeye ndo kwanza alikuwa ameanza kupendezwa na mm.....
pia nshawah kumtia demu, na kila wakati nikawa natamani niwe naye pamoja...faragha na public places!
hii inategemea sana na ulichotegemea kukikuta kama utakikuta kweli kama ulivyodhania, ama vinginevyo.
 
Kama mwanaume nia yake ilikua hiyo tu aongeze mapenzi ya kazi gani?!Tatizo ni kwamba kwenye hali kama hiyo unakuta mwanamke yeye hamkubali mwanaume kwa nia ya kuchakachuana bali ya kupendana.Kwahiyo inapotokea mwanaome amepata alichojia anasogea zake na mwanamke aliyependa kile kinakua kionjo tu kama viungo kwenye mboga...kazi yake kuongeza ladha hivyo mapenzi yake yanazidi kukolea!
 
Ni kweli kabisa! Wanaume wengi wanakuwa na ma-speed ya kumfuatilia demu, lakini wakishaonja basi. Tena wanamuona demu ndiye msumbufu pale anapopiga simu au kutaka waonane.
Umeona eeehh... tena utasikia aaa...!! Kumbe wa kawaida saaana, hapo baada ya kumpata wakati demu ndio anajua kapata mwanaume, labda ahadi kibao ulimpa, labda ukamwambia unatengeneza hela,nakwambia hizi chenga hizi
 
usemayo ni kweli kwa asilimia fulani, nishawah kumtia demu mara moja nikampotezea kabsaa ingawa yeye ndo kwanza alikuwa ameanza kupendezwa na mm.....pia nshawah kumtia demu, na kila wakati nikawa natamani niwe naye pamoja...faragha na public places!hii inategemea sana na ulichotegemea kukikuta kama utakikuta kweli kama ulivyodhania, ama vinginevyo.
Oohh yes umesema sahihi kabisa, demu wa kumpata ukaendelea nae ni mara chache sana, inategemea ndani ulikuta nini, kama ni Gold kweli uliyotamani au ni chuma iliyopakwa rangi ya gold, kaaazi kweli
 
Mnafanya vby kaka zetu hebu chukulia kama dada yako ndo anafanyiwa hivyo, kuweni na ubinadamu basi.
Ingawa ni vibaya lakini kwangu mimi mengine mnayasababisha wenyewe. Unamtongoza. Anakubadilisha kuwa ATM. Asubuhi credit, mchana umwachie lunch mahala, jioni nauli. Weekend kitimoto na heineken ukiwa na marafiki 2. Mara nyingi ukimfanya hivyo mwanaume, anaweza kuongeza dau maradufu. Ukiliwa tu, jamaa anakata mwawasiliano.
 
Vuuuuuppp!!!!Naongea kwa uhalisia & hisia, kwa kutumia uzoefu, Bujibuji ataongezea, wanaume wengi akisha do na demu, ooohh...!! ndio mwanzo wa kuanza kumpiga chenga demu mara kibao, especially akimla wengine hata mara moja ikiwa ndio mwisho, tena wanaume husema ningejua wala nisingehangaika vile, kumbe wala huyu demu hana lolote, sometimes kimoyomoyo bila kunena, ila kwa upande wa mademu ndio kama anaanza kupenda, anategemea mwanaume ampende zaidi, ataona jamaa haeleweki kabisa, mara too busy, hii ni kweli kabisa, ukisha mtia demu, mara nyingi wanaume wanaanza mbele, na kumwona mwanamke thamani si kubwa kama kabla ya kumpata kwa sex, that is it
Yaani mkuu, umeongea vitu ambavyo vipo sana tu hata kwangu...
 
Mnafanya vby kaka zetu hebu chukulia kama dada yako ndo anafanyiwa hivyo, kuweni na ubinadamu basi.
Ndiyo maana mimi nimepunguza kutogoza hovyo na ku-control tamaa za mwili wangu lakini ukijirengesha sikuachi lakini ujue na urafiki ndiyo mwisho maana ni kisha ku-do nitakuona kama condom niliyoitumia na sijui kwanini..wito wangu kwenu muwe makini si kila anae kutongoza unamvulia ngu...
 
Mimi napingana kidogo na dhana hiyo, katabia hako inawezekana kapo kwa vijana lakini ukisema mwanaume, kidogo inaleta mawaa! Inawezeka huyo hajavuka ktk rika,bado ni kijana!!Mwanaume wakweli na ambae hutawala hisia zake husimamia kile aaminicho! Na aaminicho siku zote mwanaume huyu ni kuwa na mwanamke halisi mwenye kuitunza nafsi yake na mwenye kuhimili magumu na mema!Kwahiyo dhana iliyo hapo juu imeegemea katika upande mmoja tu wa mahusiano ambao ni "kujamiana"tu hivyo haijagusa sekta kiongozi ya mapenzi! Ambayo ni mapenzi ya dhati yenye kuongozwa ktkt lengo!!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom