Baada ya kula uhondo sasa haya hapo

Sasa kama alikuwa na boyfriend kwa nini alijiachia kwako? Tena anasema "I have a man whom I love with all my heart, my soul and strength and he loves me the same way", kama ni kweli kwa nini aliamua kumsaliti? Napata kigugumizi!!!
 
Mimi nimepata kigugumizi mara 200 zaidi. Yaani ni confusion tupu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom