Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
je mwanamke anakaa muda gani hadi kurudi katika hali yake ya kawaida baada ya -kujifungua?
namaanisha 1. anaanza lini kupata hedhi
2.ni muda gani muafaka kukutana na mwanaume
mwanake muda mwingine wanasema ukikutana na mwanaume unambemenda mtoto
kwanini ukukutana na mwanaume umbemende mtoto,kunauhusiano gani kati ya hivyo vitu viwili
na pia kubemenda ni nini haswa