Baada ya kuimaliza NCCR, Marando sasa aanza na CHADEMA

Uwanja wa fisi vp, bado libeneke linaendeleaga kama zamani zile nyama za kidizain niajeniaje zipo bado? Mkesha nini vp upo
 
TANDALEONE BWANA..leo nlikuona lumumba ukipewa bahasha ili uendelee na propamobile baada ya mgomo wenu wa wiki mbili kupambania magamba humu..ELFU MBILI UNATOA manyU.
 
Umezunguuka lengo lako ni 1 tu unataka atajwe huyo mtoto ili mpate njia ya kumsafisha. NENDENI MAHAKAMANI TUTAKUTANA HUKOHUKO
 
Tupe mavitu ya ukweli mzee wa Tandale namna mnavyoipiga hii nchi, Tanesco mlivyoiweka kati juu chini kulia kushoto nani wamekaba, wanyama wanavyopanda ndege,mishahara hewa,maEPA, maKAGODA, maMEREMETA yaani makila kitu.

Usituandikie gazeti reeefu issue yenyewe ni ya katoto cha juzi kanakurupuka na viprogram uchwara vya msg hata mimi natengenezaga. Tupe mavitu ya ukweli
 
I am failing to connect the dots . . . Una maana Kwamba kwa anayoyafanya Marando sasa hivi yataisambaratisha CHADEMA?
 
Nadhani umetumwa . . . . . ! Hasa na mtoto wa kigogo mwenye huo mtambo. Kama kuna ukweli, time will tell
 
Irrelevant fact to the fact on issue...,uko completely OP...!

Mkuu, hivi hii thread yako umejaribu kuipitia walau hata mara mbili kabla ya kuituma?
Yaani kwa kujiamini kabisa you call this **** an issue?
Do you know what modern digital technology is?
 
Riz umefikiria ukaona utiletee insha ya kitoto..kasome na mdogo wako MIRA..labda atakupa 'like'
 
Mmeambiwa wapelekeni wabunge waliomtishia mbunge mwenzao mahakamni, ili naye Marando atoe nondo zake huko mahakamani.

Sasa kwa nini mnachelewa kuwapeleka mahakamani, huku mkitaka kujua ni ushahidi gani anao Marando wakati huo huo mnalalama kuwa Marando ni mzushi?
 
hivi ukweli ni upi, maana kila siku humu jf kuna tuhuma dhidi ya viongozi wa chadema. mara zito anatumiwa hatujapumua mara mbowe naye ni msaliti hatujanywa maji mara marando. kama ndo hivo basi CDM hakuna msafi kila mtu anatumiwa, hebu tuambieni basi nani hatumiwi.hebu tupeni breki jaman.
 
Nadhani umetumwa . . . . . ! Hasa na mtoto wa kigogo mwenye huo mtambo. Kama kuna ukweli, time will tell
kwanini uanze na kauli ya kutumwa then uje kusubiri time ikuambie ukweli.,ukweli huu kuwa nimetumwa umeutoa wapi..?
 
Usitucjoshe na maneno yako ya kizushi eti nani, ameondoka lini na usafiri gani! Ujinga mtupu
 
Mkuu, hivi hii thread yako umejaribu kuipitia walau hata mara mbili kabla ya kuituma?
Yaani kwa kujiamini kabisa you call this **** an issue?
Do you know what modern digital technology is?
by the best of my knowledge...! Najua what "our" technology is capable of.,and i can tell u.,we are not yet there...!
 
Back
Top Bottom