Baada ya kubinywa huko Guantanamo Ghailani sasa kujibu mashitaka

Masanja,Mkandara,

..kuna uwezekano mkubwa wa Ghailani kupata haki ya Marekani kuliko Tanzania.

..pia siamini kama Al-Qaida wanaweza kuja Tanzania na kupanga mashambulizi bila kupata ushirikiano wa wa-Tanzania.

NB:

..pamoja na kwamba Tanzania tuna sheria ya makosa ya Ugaidi, kwa usalama wetu wenyewe ni bora tukawaachia Wamarekani wa-deal na wabaya wao.

..sidhani kama Tanzania tuna security logistics za ku-deal na watuhumiwa wa ugaidi. naogopa tunaweza kukaribisha mashambulizi ya kisasi toka kwa hawa jamaa.
 
People open your eyes and stop being naive, the world has changed and most people care about money that anything else. Poor people like us Africans and Asians are the most vulnerable and easy to influence there behavior.

So its best to just leave what we don’t know as they are! Lets know start criticize and analyze what we hardly know. Hii vita ya ugaidi iko mbali na our knowledges. No one will never know what happened to huyu dogo so its best to leave it as it is.

Mkiangalia news mtaona kuna nchi like UK wanakamata materorrist ambao ni wasomi na vijana! sasa ndio hapo mtashangaa....
 
Future -Tanzania,
Mkuu jina lako halifanani na haya unayoandika hata kidogo..
Unaposema haya maswala ya Ugaidi yako mbali na Knowledge yetu una maana gani kwani huyu kijana ni mtu gani sii Mtanzania tena umri wa miaka 20, hata college hakwenda..Huo Ubalozi anaoshitakiwa umelipuliwa wapi?.. si Tanzania....Sasa iliwezekana vipi kulipua Ubalozi tukitumia watu wasiokuwa na knowledge ua ugaidi kama unayodai?..
Na iweje swala la wasomi wa UK uliweke hapa wakati tunazungumzia Ugaidi wa huyu kijana ambaye hana hata elimu hiyo.. Unataka kusema waliolipua Ubalozi wa Marekani ni vijana wanafunzi wanaosoma vyuo vyetu?..

Mkuu hakuna swala tusilokuwa na uwezo nalo kufikiria ikiwa halina elimu ya technologia kulifanya..Hao wamarekani wenyewe wanategemea feed back zetu kuweza kuwapata wahalifu iwe mitaani au nchi za nje..
Majuzi tu wamekamatwa wanawake wawili wa Kimarekani wakiingia North Korea. Inajulikana wazi sii waandishi wa habari ila ni majasusi, huhitaji knowlegde yoyote kwa nini Marekanai wanasisitiza mijitu mijinga kama sisi kufikiria tofauti..Hawa watu wamevunja sheria na kuingia North Korea bila idhini.. Why?..Lakini wao (Marekani) wamekamata wazee wa miaka 70 na kuwashutumu ni majasusi wa Castro na dunia imekaa kimyaaa..hawa sii waandishi wala hawana uzushi.. Kasema nani Mareekani!
Acheni jamani acheni ndio maana tunatawaliwa na hizi fikra za kitumwa kufikiria kwamba Wamarekani wanajua kila kitu..
 
Mawazo poa sana Mkandara...You've stated it very aptly and there
is no more to add.

Huyu ba-mdogo analostishwa tukiona na kwa kweli he was at the
wrong place and the wrong time in my opinion.There is bigger fish
to fry and America cant find them, so they go for these minnows.
I refuse to believe the hype ambayo wanatuuzia all along.

Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu, why are we 'exporting'
our criminals ilhali tuliweka vipengee vya anti terrorism in the Laws
of our Land...what purpose are they serving when we simply answer
to the call of our so called masters? I believe every person deserves their
day in court including Ahmed Ghailani.

Kumbukeni as it stands, this individual has been held in Guatanamo
without any trial or whatever and that is surely a miscarriage of
justice.

Asanteni.
 
Unaposema huoni kwa nini Mtanzania ajihusishe na ugaidi, you are not serious! Unataka kusema kuwa Osama alifanikiwa kupiga ubalozi wa Marekani nchini Tanzania bila kushirikiana na Mtanzania yeyote? Usiwe kama Ahmed Nejad anayedai kuwa hakukua na mauaji ya Wayahudi karibu milioni sita (Holocaust) huko Ulaya wakati wa Hitler!
 
Mkandara, Future-Tanzania,....

..so far hakuna mchangiaji yeyote aliyetoa utetezi unaoshawishi kwamba huyu kijana arejeshwe nyumbani Tanzania/Zanzibar kwa kodi yetu walalahoi.

..bado haieleweki alikuwa akifanya nini Pakistan. kuna "waliomtetea" kwamba alikuwa akiuza unga/madawa ya kulevya.

..kesi ya kuuza "unga" Pakistani sina uhakika kama ina unafuu wowote kulinganisha na ile ya ugaidi Marekani.

..kama alivyoeleza Mkandara si kwamba wa-Tanzania tumetawaliwa na fikra za kitumwa kwa Wamarekani peke yao. hapa kuna influences za kila aina ambazo hazina maslahi yoyote yale kwa wa-Tanzania. kwa mfano kuna wazazi wamewaita watoto wao jina Osama Bin Laden.

..huyu kijana akirejeshwa Tanzania na kushtakiwa kwa ugaidi msijeshangaa kukawa na maandamano makubwa yatakayowagawa wa-Tanzania. naomba niwakumbushe malumbano yakichochezi yaliyotokea wakati wa mchakato wa kupitisha sheria ya makosa ya ugaidi Tanzania.

..ushauri wangu ni kwamba kijana aachwe ashughulikiwe na wa-Marekani. atapewa wakili wa kumuwakilisha na uwekano wakili huyo atatimiza wajibu wake.

..wa-Tanzania tunaweza kesi za mauaji ya albino tu, lakini hizi za ugaidi sidhani kama tunauwezo nazo.

NB:

..bila Mkapa kupitisha sheria ya magaidi sina uhakika kama Kikwete angekaribishwa White House na Baraka Obama kula ma-apple. pia sidhani kama Joji Bush angetembelea Tanzania na kugawa vyandarua.
 
Last edited:
Nemeshawambia huyu kijana alikuwa muuza Unga tu....Tatizo he was at the wrong place at the wrong time..Hawezi kuwa mtu alopanga kulipua Ubalozi wa Marekani kisha ati kaondoka kabla ya...at the age of 20 nani Bongo atamsikiliza..kwa hivyo wanavyodai na navyowajua Watanzania...Haiwezekani..
Kisha kikubwa zaidi wapo wanaomfahamu vizuri vijiwe vya Pakistan kuwa kazi yake ilikuwa kuuza unga kwa Makontena yaliyokuwa yakitumwa huko....
tehe tehe mkuu huwajui ma terror.......nani alijua wanafunzi wa urubani wakina atta watakuwa magaidi? kuuza unga inaweza kuwa ni njia tu lakini inside akawa gaidi vile vile.........
dogo atakuwa terror tu alipotea kwao miaka 6 ajulikani alipo wewe unadhania alikuwa wapi? wauza unga hawapotei kihivyo mjomba.........
 
Tu-assume kwamba huyu dogo Ghailani karejeshwa Tz, then akatua Kisutu. Fact za kumshtaki wanazo wamarekani. Kwa hiyo tutawaita waje watoe ushahidi au? Then wanasheria wetu mabingwa wa 'legal technicalities' wataleta objections kama vile amekamatiwa nje ya nchi (Territorial Jurisdiction). Naona huyu dogo ashtakiwe huko huko US itapatikana haki ili apate malipo ya ugaidi wake kama ana hatia!
 
Nemeshawambia huyu kijana alikuwa muuza Unga tu....Tatizo he was at the wrong place at the wrong time..Hawezi kuwa mtu alopanga kulipua Ubalozi wa Marekani kisha ati kaondoka kabla ya...at the age of 20 nani Bongo atamsikiliza..kwa hivyo wanavyodai na navyowajua Watanzania...Haiwezekani..
Kisha kikubwa zaidi wapo wanaomfahamu vizuri vijiwe vya Pakistan kuwa kazi yake ilikuwa kuuza unga kwa Makontena yaliyokuwa yakitumwa huko....

Naona utakuwa shahidi mzuri sana wa Ahmed Ghailani huko Marekani. Wengine tuliopoteza ndugu na marafiki sijui tukushauri nini. Mkuu Mkandara, kuna wakati sikuelewi kabisa.
 
wakina mkandara wengi......
Atta's father, Mohamed el-Amir Awad el-Sayed Atta, a retired lawyer in Egypt rejected allegations that his son was involved in the September 11 attacks. In interviews, Atta Sr. usually does not listen to nor does he answer questions that are asked, but instead rants about the United States, and his belief that Mossad had a hand in framing his son.[28] Atta Sr. rejected media reports that his son was drinking wildly, and instead described his son as a quiet boy uninvolved in politics, shy and devoted to studying architecture
wakuu dogo ale lupango huko huko.....akija uku atatuletea mabalaa security yetu ndogo sana......nawachukia sana hawa jamaa....wananikera hawachagui wa kuua wenyewe bora yatimie maandiko ya kitabu chao.....
 
Mkandara,
Ghailani ni kijana wa kwetu kule kikwajuni, zanzibar tumecheza nae, tunamfahamu vizuri,jamaa alikuwa mtu wa tabligh, (mfikisha ujumbe wa Mw´mungu kwa watu), habari za kuuza unga ndo nina kusikia ww.
 
Naona utakuwa shahidi mzuri sana wa Ahmed Ghailani huko Marekani. Wengine tuliopoteza ndugu na marafiki sijui tukushauri nini. Mkuu Mkandara, kuna wakati sikuelewi kabisa.

mkuu unajua jamaa kaingiza suala la imani yake.....hapo akili zake zinapoteaga ni sawa na yule ukimuongelea malecela akili zinayeya.....ghailani is a terror and i hate ma terror woote..wafie mbele huko...
 
Mawazo poa sana Mkandara...You've stated it very aptly and there
is no more to add.

Huyu ba-mdogo analostishwa tukiona na kwa kweli he was at the
wrong place and the wrong time in my opinion.There is bigger fish
to fry and America cant find them, so they go for these minnows.
I refuse to believe the hype ambayo wanatuuzia all along.

Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu, why are we 'exporting'
our criminals
ilhali tuliweka vipengee vya anti terrorism in the Laws
of our Land...what purpose are they serving when we simply answer
to the call of our so called masters? I believe every person deserves their
day in court including Ahmed Ghailani
.

Kumbukeni as it stands, this individual has been held in Guatanamo
without any trial or whatever and that is surely a miscarriage of
justice.

Asanteni.

Huyu kijana alikamatiwa Pakistan na majeshi ya Pakistan.
 
Featured Topics:

AP – In this photo, reviewed by the U.S. military, a guard stand outside the gate of Camp Iguana detention …

By TOM HAYS and DEVLIN BARRETT, Associated Press Writers Tom Hays And Devlin Barrett, Associated Press Writers – 25 mins ago
NEW YORK – Under heavy guard, a Guantanamo Bay detainee walked into a civilian U.S. courtroom for the first time Tuesday, underscoring the Obama administration's determination to close the Cuban prison and hold trials here despite Republican alarms about bringing terror suspects to America.
Ahmed Ghailani, a Tanzanian accused in two American Embassy bombings a decade ago, pleaded not guilty — in English — in a brief but historic federal court hearing that transported him from open-ended military detention to the civilian criminal justice system.
President Barack Obama has said keeping Ghailani from coming to the United States "would prevent his trial and conviction." Taking a drastically different stance, House Republican leader John Boehner of Ohio labeled Tuesday's move "the first step in the Democrats' plan to import terrorists into America."
Ghailani, accused of being a bomb-maker, document forger and aide to Osama bin Laden, was brought to New York to await trial in connection with al-Qaida bombings that killed 224 people — including 12 Americans — at the U.S. embassies in Tanzania and Kenya in 1998.
U.S. marshals took custody of Ghailani from his military jailers and transferred him to a federal lockup in lower Manhattan that currently holds financial swindler Bernard Madoff, and once held mob scion John "Junior" Gotti and blind terror leader Sheik Omar Abdel-Rahman.
Short and slim with a wispy goatee, Ghailani walked into the courtroom without shackles or handcuffs, wearing a blue jail smock.
He listened at times through an interpreter but then removed the headphones and appeared to understand what was said in English.
Asked by the judge if he wanted her to "read this big fat indictment," he conferred with his lawyer, said it was not necessary and made his plea: "not guilty."
About 10 deputy marshals were in the courtroom, including two who were behind him.
Ghailani's attorney, Scott L. Fenstermaker, declined comment after the hearing.
"We are ready to proceed in the case," declared Assistant U.S. Attorney David Raskin, who said there was "voluminous" evidence to be shared among attorneys.
U.S. District Judge Loretta A. Preska acknowledged Ghailani's U.S. military lawyers, Marine Col. Jeffrey Colwell and Air Force Maj. Richard Reiter, who were seated in the courtroom but were not representing him at the hearing.
"Anything you can do to help him transition to the civilian courts will be greatly appreciated," she said.
Ghailani's trial will be an important test case for Obama's plan to close the detention center at Guantanamo in seven months and bring some of the terror suspects there to trial.
Attorney General Eric Holder said, "The Justice Department has a long history of securely detaining and successfully prosecuting terror suspects through the criminal justice system, and we will bring that experience to bear in seeking justice in this case."
Though the bombings were a decade ago, "for us, it's like yesterday," said Sue Bartley, a Washington-area resident who lost her husband, Julian Leotis Bartley Sr., then U.S. consul general to Kenya, and her son, Julian "Jay" Bartley Jr.
"The embassy bombings were a precursor to 9/11. And even though we know that an American embassy located in any country is American soil, I don't think people really understand that," she said.
The U.S. response to the 2001 terror attacks — including the opening of the Guantanamo detention center — could also complicate Ghailani's case, as defense lawyers are likely to mount legal challenges based on the circumstances of his capture, detention and treatment over the years.
Justice Department officials would not say Tuesday what would be done with Ghailani if he were acquitted, but in past cases a non-citizen defendant would be turned over to immigration authorities for deportation.
There will also be political challenges to Ghailani's trial.
Congressional Republicans have repeatedly contended that transferring terrorist suspects to U.S. soil will threaten public safety. The Guantanamo issue has seemed one of the few issues falling the Republicans' way, as polls suggest that most Americans want to keep the Cuba-based prison operating.
But if Ghailani can be handled without serious incident in New York and elsewhere, the GOP argument may lose steam and Congress may rethink its refusal to fund the closing of Guantanamo. The move also could bolster Obama's efforts to persuade other nations to accept some detainees from the prison.
U.S. officials contend Ghailani began a terrorist career on a bicycle delivering bomb parts and rose through the al-Qaida ranks to become an aide to bin Laden.
After the Aug. 7, 1998, bombings at U.S. embassies in Nairobi and Dar es Salaam, Tanzania, Ghailani worked his way up the al-Qaida ranks, according to military prosecutors.
He was categorized as a high-value detainee by U.S. authorities after he was captured in Pakistan in 2004, and he was transferred to the detention center at the U.S. naval base in Cuba two years later.
Ghailani has denied knowing that the TNT and oxygen tanks he delivered would be used to make a bomb. He also has denied buying a vehicle used in one of the attacks, saying he could not drive.
Not only Republican lawmakers have opposed bringing Guantanamo detainees to the U.S. for trial, even in heavily guarded settings. Obama faces pressure from across the political spectrum over his plan to close the detention center. Democrats have said they want to see Obama's plan for closing the base before approving money to finance it, and Republicans are fighting to keep Guantanamo open.
The decision to try Ghailani in New York also revives a long-dormant case charging bin Laden and other top al-Qaida leadership with plotting the embassy attacks, which led then-President Bill Clinton to launch cruise missile attacks two weeks later on bin Laden's Afghan camps.
Four other men have been tried and convicted in the New York courthouse for their roles in the embassy attacks. All were sentenced to life in prison.
___
Devlin Barrett reported from Washington. Associated Press Writers Charles Babington in Washington and Larry Neumeister and Verena Dobnik in New York contributed to this report.
 
Huyu kijana alikamatiwa Pakistan na majeshi ya Pakistan.

Thats my point exactly.Kama ameshikwa Pakistani, then the
Pakistanis should have charged him with a crime na la sivyo
basi Bongo tungemchukua na sio kuwakabidhi wamarekani.
 
Kama kuna anayejua kiasi cha ELIMU alichopata huyu Mtanzania tunaomba atufahamishe. Alisoma zaidi ya kufuta ujinga?

Mie naelekea kudhani labda alikuwa muuza unga tu (kama anavyopendekeza Mkandara). Alitumiwa na wapiga mabomu, bila hata kujua anafanya nini. Wauza unga huenda Pakistan na Afghanistan.

Point mpya: Hili ni jaribio kwa Obama, la namna ya kushughulikia GTMO. Nadhani kikubwa alichoteta na JK ni kwamba baada ya kesi, kijana arudishwe Tanzania. Kama ni wa kufunga afungwe nyumbani, kama ni wa kuachiwa basi arudi zake nyumbani.

Ghailani ni Mtanzania, na hajapatikana na hatia. Kwa nini hatukujaribu kumtetea aachiwe huru au afikishwe mahakamani siku zote hizi? Si sawa kumtelekeza mwananchi
 
Future -Tanzania,
Mkuu jina lako halifanani na haya unayoandika hata kidogo..
Unaposema haya maswala ya Ugaidi yako mbali na Knowledge yetu una maana gani kwani huyu kijana ni mtu gani sii Mtanzania tena umri wa miaka 20, hata college hakwenda..Huo Ubalozi anaoshitakiwa umelipuliwa wapi?.. si Tanzania....Sasa iliwezekana vipi kulipua Ubalozi tukitumia watu wasiokuwa na knowledge ua ugaidi kama unayodai?..
Na iweje swala la wasomi wa UK uliweke hapa wakati tunazungumzia Ugaidi wa huyu kijana ambaye hana hata elimu hiyo.. Unataka kusema waliolipua Ubalozi wa Marekani ni vijana wanafunzi wanaosoma vyuo vyetu?..

Mkuu hakuna swala tusilokuwa na uwezo nalo kufikiria ikiwa halina elimu ya technologia kulifanya..Hao wamarekani wenyewe wanategemea feed back zetu kuweza kuwapata wahalifu iwe mitaani au nchi za nje..
Majuzi tu wamekamatwa wanawake wawili wa Kimarekani wakiingia North Korea. Inajulikana wazi sii waandishi wa habari ila ni majasusi, huhitaji knowlegde yoyote kwa nini Marekanai wanasisitiza mijitu mijinga kama sisi kufikiria tofauti..Hawa watu wamevunja sheria na kuingia North Korea bila idhini.. Why?..Lakini wao (Marekani) wamekamata wazee wa miaka 70 na kuwashutumu ni majasusi wa Castro na dunia imekaa kimyaaa..hawa sii waandishi wala hawana uzushi.. Kasema nani Mareekani!
Acheni jamani acheni ndio maana tunatawaliwa na hizi fikra za kitumwa kufikiria kwamba Wamarekani wanajua kila kitu..

Mkandara,

Naomba unielewe nilichosema! ni kwamba Tanzanians we should stop being so naive, kusema kwamba huyu kijana hawezi kujihusisha na uterrorist. watu wameanza kusema kwamba ameonewa bra bra, eti alikuwa na umri mdogo aliposhikwa etc. mara hoo he was in wrong place at right time.

uterrorist hupo kila sehemu. kuna watu wengi especial young people have been brain washed to believe wanafight for the right reasons kumbe ni for the benefits of few people. Na ndio maana nikatoa mfano kuna wasomi na hapa young people wanaparticipate kwenye uterrorist na huyu kijana anaweza kuwa mmoja wapo for his own reasons, possible hata alikuwa brainwashed to believe he was doing the right thing!

So i hope you understand what i meant there! tusiwe tunatetea what we dont know! angalia for example Afghanistan, Iraq or Pakistan watoto wadogo as far as 10 years wanajiushisa na uSuicide boming! why? do you have a reason for that?
 
Mawazo poa sana Mkandara...You've stated it very aptly and there
is no more to add.

Huyu ba-mdogo analostishwa tukiona na kwa kweli he was at the
wrong place and the wrong time in my opinion.There is bigger fish
to fry and America cant find them, so they go for these minnows.
I refuse to believe the hype ambayo wanatuuzia all along.

Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu, why are we 'exporting'
our criminals ilhali tuliweka vipengee vya anti terrorism in the Laws
of our Land...what purpose are they serving when we simply answer
to the call of our so called masters? I believe every person deserves their
day in court including Ahmed Ghailani.

Kumbukeni as it stands, this individual has been held in Guatanamo
without any trial or whatever and that is surely a miscarriage of
justice.

Asanteni.

Sasa inabidi uanze na small fish wakupeleke kwa big fish.. hamna mtu anayesema wamarekani they are always right ila tunachosema watanzania kama Mkandara wanatoa Irrational arguments za kusema huyu dogo alikuwa haparticipate fully kwenye terrorist!
 
wakina mkandara wengi......

wakuu dogo ale lupango huko huko.....akija uku atatuletea mabalaa security yetu ndogo sana......nawachukia sana hawa jamaa....wananikera hawachagui wa kuua wenyewe bora yatimie maandiko ya kitabu chao.....
Ila kaka wewe unawapenda sana wale wanao chagua wa kuwa uwa kule Uraq na Afghanistan au sio?
 
Back
Top Bottom