Baada ya kuachana kwa miaka 4 anataka mahusiano yaendelee

Angeloos

Member
Jul 18, 2011
56
19
Habari wana JF.
Kuna rafiki yangu alikuwa na boyfriend wake ambaye alimuacha ghafla kwa sababu ambazo hata yeye(rafiki yangu) hazijui. Baada ya hapo kila mmoja aliendelea na maisha yake na jamaa sasa ameoa. Imepita miaka 4 sasa lakini juzi kati jamaa kampigia simu rafiki yangu anamwambia kwamba pamoja na kwamba alimuacha ule ulikuwa ni ujana tu uliokuwa unamsumbua lakini sasa amebaini kuwa anampenda sana na anataka waendelee na mahusiano yao. Na ameanza kumtumia zawadi mbalimbali na amemuhaidi mambo mengi ikiwa ni pamoja na kubadilisha maisha yake. Sasa rafiki yangu amekuja kwangu anaomba ushauri afanyaje na yeye bado alikuwa anampenda na mpaka sasa hajapata mtu wa maana wengi anaokutana nao ni wababaishaji. Jamani naomba mawazo yenu yenye tija ili tuweze kumsaidi bi dada maana yuko njia panda.
 
Mwambie jamaako aache u'Play Boy!...huyo mwanamke wa zamani anampima oili ili amvurugie tena!
Kama ameoa anataka kitu gani cha ziada?
Baada ya kuoa hakuna maelezo yoyote anayoweza kutoa yakamridhisha mtu....aache kuandaa mazingira ya kumvuruga mkewe bana!
 
Mwambie hivi....LD kasema, amwambie huyo kaka aache ukumbafu, kabla hatujampeleka Pande.....akae atunze mke na familia yake. Na huyo binti aache Ufala akae atulie apeleke maisha yake.......akitokea wakumpenda ashukuru. Vinginevyo anatafuta kuvunjwa moyo mara elfu kumi!!!! Nimemaliza.
 
Habari wana JF.
Kuna rafiki yangu alikuwa na boyfriend wake ambaye alimuacha ghafla kwa sababu ambazo hata yeye(rafiki yangu) hazijui. Baada ya hapo kila mmoja aliendelea na maisha yake na jamaa sasa ameoa. Imepita miaka 4 sasa lakini juzi kati jamaa kampigia simu rafiki yangu anamwambia kwamba pamoja na kwamba alimuacha ule ulikuwa ni ujana tu uliokuwa unamsumbua lakini sasa amebaini kuwa anampenda sana na anataka waendelee na mahusiano yao. Na ameanza kumtumia zawadi mbalimbali na amemuhaidi mambo mengi ikiwa ni pamoja na kubadilisha maisha yake. Sasa rafiki yangu amekuja kwangu anaomba ushauri afanyaje na yeye bado alikuwa anampenda na mpaka sasa hajapata mtu wa maana wengi anaokutana nao ni wababaishaji. Jamani naomba mawazo yenu yenye tija ili tuweze kumsaidi bi dada maana yuko njia panda.

kwaiyo mme wa mtu sio mbabaishaji?
her future?
achen kuhalalisha ujinga na umalaya kwa kigezo cha nilikuwa nae....atanipa maisha mazuri....mwambie akaze but maisha mazur yapo mikonon mwake sio kutoka kwa mme wa mtu

what if uyo jamaa ana kmaradhi yake?

y akubali kudnanganywa kitoto ivyo?et nakupenda ..na alivyoachwa?

atumie akili kupambanua mambo aache hisia na aweke tamaa pemben

nawasilisha.
 
mume wa mtu sumu! full stop. . . dedication- tamaa mbaya by naniliu hata cmkumbuki jina hope unamfamu!
 
Aunt unazuzulika hana jipya huyo, atakula na atasepa tena mkewe na family yake anayo.
 
Tuliza akili yako pima na ufikiri,maradhi mengi kama unamuamini na dini yako inaruhusu na uko tayari na misukosuko ya uke wenza sawa la huwezi shosti usijichanganye,na ebu jaribu kumchunguza huyo bwana...
 
kwa hiyo anadhani huyomume wa mtu ni 'mtu wa maana?'
kuna wanawaie wanapenda kutumiwa kama toilet pepa......
Angempenda angemuacha?

Anyway,
kama shogako anataka kupasha kiporo moto arudi....
Ila akimwagwa bila sababu usirudi jamvini 'kumzungumzia'

wanawake tumieni akili.....
 
kha! kwani wao waislamu?? kama ndivyo, aolewe mke wa pili, kama sivyo anakosea na si vema, avumilie tu atapata wake.

ndo maana nakukubali kungwito wenzangu lol! ila jamani maisha kizungumkuti, kijana aliacha mbachao kwa msala upitao kesha tumia kisamvu cha kopo huko sasa anataka kurudia ganda la muwa la jana. yaani ni full mchanganyiko dah!

ushauri wangu ajiunge kwenye chama cha cacico na gfsonwin hiki ni chama cha kusema kweli daima na kutumbua majipu yaliyoiva kama hilo. asiangalie pesa wala msaada bana ampige chini huyo jamaa kama alikimbilia kulia kakuta kushoto kumebomoka atajiju. binti atulie apate wake mwandani.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: LD
Nawashukuru sana wadau kwa michango yenu. Yaani mmechangia kwa hisia, na watu wanasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU'. Huyo Kijana ni kristo na kafunga ndoa ya kikristo na ana mtoto mmoja sasa na shosti wangu pia ni mkristo. Nafikiri kwa busara shosti wangu anatakiwa kukubali matokeo na kuendelea na maisha yake. Thank U all, be blessed!
 
Hadi akushirikishe ujue na yeye anatamani kufanywa small house...mwambie akitaka kukanyaga moto abebe fire extinguisher kabisaaa...
 
kwani huyo mwanaume wakati anataka kuoa hakujua kama rafiki yako pia ni mwanamke?si alijua ila akaona hafai kuwa mke,anafaa kuwa hawara wa kuchezewa !huyo rafiki yako,mpepee akili ili ajijue hapo anaenda kuchezewa,na muda wa kutafuta mwanaume wake wa kumuoa hatapata!aachane nae tena amuepuke!
 
Mwambie hivi....LD kasema, amwambie huyo kaka aache ukumbafu, kabla hatujampeleka Pande.....akae atunze mke na familia yake. Na huyo binti aache Ufala akae atulie apeleke maisha yake.......akitokea wakumpenda ashukuru. Vinginevyo anatafuta kuvunjwa moyo mara elfu kumi!!!! Nimemaliza.

:eek2:......
 
tena mwambie ni LD na Preta wamesema.....kubafu sana....silindahedi mkubwa huyo mwanaume.....
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru sana wadau kwa michango yenu. Yaani mmechangia kwa hisia, na watu wanasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU'. Huyo Kijana ni kristo na kafunga ndoa ya kikristo na ana mtoto mmoja sasa na shosti wangu pia ni mkristo. Nafikiri kwa busara shosti wangu anatakiwa kukubali matokeo na kuendelea na maisha yake. Thank U all, be blessed!

Safi aachane nae tu,afanye maisha yake atampata tu mr right luv takes time
 
ndivyo dada zetu walivyo na akili mbovu,hivi hapo ameshamzimia akati anajua jamaa kaoa.Kudanganywa wamezoea.whatch out young lady
 
Hadi akushirikishe ujue na yeye anatamani kufanywa small house...mwambie akitaka kukanyaga moto abebe fire extinguisher kabisaaa...

kweli kabisa anataka kuwa nyumba ndogo huyo....
Kuna mdada mzuri, ana cheo, elimu ila kwa kuwa elimu yake imemsaidia kufuta ujinga haijamkomboa nae kafanya mchezo kama huu......
Sasa hivi anachacha tu.....
 
Back
Top Bottom