Baada ya Kiongozi wa UAMSHO kupatikana, SMZ yapiga marufuku Vipindi vyao vya Radio

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Hii ni habari ya muda mfupi uliopita.

SMZ imepiga marufuku vipindi vya Uamsho vilivyokuwa vinatangazwa na Sauti ya Tanzania Zanziba a pia katika Radio nyingine zote. Mods kama Hii barua haitaonekana vema mtanisaidia kuikuza isomeke.

3427_298300950270001_980858142_n.jpg
 
Walikuwa wapi muda wote. Kwa hiyo walikuwa wanakubaliana na waliokuwa wanayafanya hapo nyuma!!

serikali zetu zinafuga zenyewe vidonda halafu zinakuja utafuta wa kumtupia mzigo. SMZ imeshiriki kuikuza UAMSHO kwa kuwapa Airtime leo hii wanaipata matunda yake sasa
 
Hii ni habari ya muda mfupi uliopita.

SMZ imepiga marufuku vipindi vya Uamsho vilivyokuwa vinatangazwa na Sauti ya Tanzania Zanziba a pia katika Radio nyingine zote. Mods kama Hii barua haitaonekana vema mtanisaidia kuikuza isomeke.

3427_298300950270001_980858142_n.jpg

Nadhani wameufyata tu!wamemuachia wa nini?au washasahau kuna askari mtu kachinjwa?
 
Tuliwashauri sana hapa JF kuwa wafungie hizi redio za uchochezi, wakatupuuza ONA SASA WANAJARIBU KUTATUA TATIZO JIPYA KWA KUTUMIA NJIA YA ZAMANI.
 
Tuliwashauri sana hapa JF kuwa wafungie hizi redio za uchochezi, watapuuza ONA SASA WANAJARIBU KUTATUA TATIZO JIPYA KWA KUTUMIA NJIA YA ZAMANI.

Wanatatua matatizo ambayo wameyaanzisha, wakayakuza na kuyasambaza wao wenyewe. Sasa wanashindwa kuyatatua
 
Nategemea pia Radio Imani itapewa onyo au kama si kufungwa,na Mihadhara yote yenye uchochezi kuPigwa Marufuku! Heko SMZ
 
Back
Top Bottom