Baada ya kikao na IGP Mwema, Dr. Slaa Alonga

Asema baada ya mazungumzo na IGP wamekubali kusitisha mikutano yao ya M4C kwa muda wa siku 3, ili kupisha zoezi la sensa kukamilika kutokana na muda ulioongezwa,

kama kauli yake ni hii moja tu... basi ameonyesha dharau kwa marehemu, unless kuna full press conference badae

HAIINGII AKILINI KAULI YA KWANZA IWE INAYOHUSU M4C BADALA YA MAUAJI

SORRY
 
Kwaiyo maisha ya jamaa yamepotea hivi hivi tu, alikua wapi kusubiri? Je anaona faida ya lolote na liwe? Kwakweli nimemzarau kabisa huyu mzee.

Those are my sentiments...

Yaani mtu kafia kazini ku-cover habari yenu, wewe unaanza na kusitisha M4C???? i hope aliyeleta mada ameamua tu kuchagua cha kusema
 
Wale wauaji wakamatwe na wafunguliwe kesi za mauaji ,ule ni uuaji bunduki wamemuwekea tumboni baadae wanasema upuuzi!haikubaliki kabisa !damu isiyo na hatia itawalilia daima!
 
we mpumbavu nini,ameua yeye?afu ukweli ni kwamba ilikwishatangazwa kuwa zoezi la sensa halisimamishi shughuli za kawaida,mbona CCM wanaendelea na vikao vya ndani vya uchaguzi na wamezindua kampeni BUBUBU.
 
jamani mbona hamumwamini jmushi1 km yupo kwenye tukio tutamsubiri Tumaini Makene mpaka lini? acheni anachokipata kiwekwe hadharani hivyo vingine viende Magazetini kesho
Mkuu ww tumwagie Kamuhanda alivyofoka au kufokewa na IGP
sipo kwenye tukio mkuu,ama ulimaanisha kitu gani?maana naona unamix madawa hapa.
 
...Ni wenye akili finyu tu ndio wanaoweza kuamini kwamba CHADEMA haitatoa ripoti ya kina kuhusiana na mauaji ya Mwangosi.

CDM wanaandaa tarifa yenye maelezo ya kina. Si vema wakakurupuka kusemea jambo hili ila nina imani kubwa kuwa wanalifanyia kazi. Tuwe na subira ila Makene tupe yaliyojiri humo jumba la kikao.
 
Kwaiyo maisha ya jamaa yamepotea hivi hivi tu, alikua wapi kusubiri? Je anaona faida ya lolote na liwe? Kwakweli nimemzarau kabisa huyu mzee.

Hayo maneno ya kipuuzi kamwambie baba yako muhongwa suti anayeuza nchi kwa waarabu na shemeji yake Saidi Mwema usituletee za kuleta hapa kutaka kuwaficha wauaji waliobobea kama akina michael Kamuhanda anaendeleza tu kwa raha zake kaua songea sasa anakuja nyololo anamurisha bomu na kaka yako jakaya kikwete pale magogoni ana kunja nne na kuvuta uso kwa tabasamu one day he will pay
 
Ndiyo maana kwa wenzetu china hamna maswala ya haki za binadamu. Tumeona picha kabla ya tukio na baada ya tukio; sasa uchunguzi upi unafanyika jamani? Swala la uhalisia linaingiliwa na maswala ambayo kimsingi nasema ni siasa, Ndiyo maana mara nyingi nimekuwa nikikosolewa humu. Mtu amekamatwa airport kapewa juisi katoa pipi kadhaa za cocaine lakini unasikia upelelezi bado unaendelea.
 
Hawa Chadema nao mara nyingine kama wanajichanganya hivi. Mara maandamano yanaendelea mara yanasitishwa. Kuweni na msimamo nyie.

Lazima watanzania tuelewe ukombozi wetu hautatokana na CDM au CCM. Ukombozi wetu utatokana na sisi wenyewe. Polisi wameua mwandishi wa habari ambaye si CDM wala CCM. Waandishi wa habari wako wapi na wana-msimamo gani? Kikao kilikuwa cha CDM na polisi na wala hakukuwa na mwakilishi wa marehemu. At the same point hatujui kikao kilikuwa kinahusu haya mauaji moja kwa maoja au vipi lakini kwa vyovyote vile CDM lazima wachukue hatua ambazo hawataonekana wao kama chama wanahamasisha vurugu. Pamoja na hayo sioni ni kwanini Dr. Slaa alikakaa kikao na hawa majambazi. However, naelewa yeye ana-represent grp yake -CDM na anawajibika kutoa info kutokana na taratibu zao walizojiwekea e.g. kufanya independent uchunguzi etc etc.
Watanzania hata tulioelimika tunashindwa kuona kwamba, haki zetu hakuna anayeweza kuzitetea bila sisi wenyewe kuamka. Ni rahisi sana kuwalalamikia viongozi wa vyama vya siasa kwasababu; ndio tunachopenda watanzania -blame game. Dr. Slaa amekwenda kwenye kikao kama mwakilishi wa CDM; je waandishi wa habari na watanzania wasio na vyama wamechukuliaje huu ukatili na wanamaamuzi gani? Personally, naona tukiingiza siasa kwenye hii issue tunakosea sana. Huyu mwandishi ameuwawa akiwa kazini, yule wa Morogoro naye ameuawa alikuwa muuza magazeti; Ulimboka yamemkosakosa akiwa kazini (whether una-agree kwenye mgomo or not waliomtesa walijichukulia sheria mikononi). Sasa je hii yakujichukulia maamuzi mikononi ndio mtindo wa sasa? Je wananchi tunakubaliana na hii mess? Wanasiasa wanahaki yaku-react wanavyotaka wao lakini mimi na wewe tunamajukumu mazito yakuhakikisha askari hawa hawaui mtu mwingine asiye na hatia. Ivi haki zako wewe na mimi ziko mfukoni wa mwanasiasa au kiongozi fulani? Haya ndio mambo ya Ulimboka na kumlalamikia Hellen Kijo Bisimba kwakutofanya a b and c. Mimi na wewe tuko wapi na tuna msimamo gani? Mpaka itokee close to home labda ndio tutapata akili.
 
jmushi1 hiyo siyo taarifa ya kikao ila ni taarifa kwa wanacdm kuwa hakutakuwa na mikutano ya m4c for the next 3 days. alitoa taarifa fupi kwa radio 1.

Dah! Anyway, cjui bana but it doesn't sound good to me.....it's like hivi sasa CHADEMA wanasema; YES, they were wrong so, inabidi warudi kwenye mstari...!! Hii ni kama kuwasaliti witnesses waliosema pale Nyololo hapakuwa na mkutano wowote but ilikuwa ni kufungua matawi tu...!!! Kuwa firm, nilitarajia CHADEMA wangeendelea kukaza kwamba hawawezi kusitisha kitu ambacho hakikuwapo so, suala kama ni kufungua matawi wataendelea kama kawa simply because kufungua matawi ni tofauti na kufanya mikutano!
 
Mie haya niliyajua tu baada yakusema kuwa kuna kikao kati yao. Sasa kwa nn asinge sitisha hivyo tangia mwanzo nakuepusha kifo cha mwandishi? Slaa ni janga la kitaifa
Asinge asingesitisha ndio nini bro? Pepo mwaitaka kufa noma! Mbona unacheza mdako na watoto? Funga buti usonge mbele na m4c!
 
Slaa jirekebishe unatubore bana..umekuwa laini sana
Kama huiwezi speed ya Dr piga chini mwanangu usaidie domestic! huko tunakoelekea hakuna lelemama! Kamanda aliekufa anakushangaa kwa bla bla badala ya kupokea kijiti kuokoa wale mamia wanaokufa kwa ujinga umaskini ufisadi magonjwa!
 
Asema baada ya mazungumzo na IGP wamekubali kusitisha mikutano yao ya M4C kwa muda wa siku 3, ili kupisha zoezi la sensa kukamilika kutokana na muda ulioongezwa,

.
Hii siyo kauli ya kikao muhimu kilichogharimu mtu muhimu uhai.
.
 
Back
Top Bottom