Baada ya kesi ya Igunga: Spidi ya kesi zingine itategemea nini?

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,166
Kafumu ni chali na chini. Hoi CCM na CDM hoyee!

Najiuliza jinsi mahakama zinavyofanya kazi. Baada ya uchaguzi wa 2010, kesi zilizofunguliwa ni zaidi ya 100! Hii kesi ya Kafumu ni baada ya uchaguzi mdogo wa Igunga. Hivi karibuni.

Najiuliza imekuwaje kesi hii ikasikilizwa kwa haraka kiasi hiki wakati kesi zingine zikiwa hata hazitajwi. Hii ya kafumu ilianza November 2011 leo hii August it's over!

Serikali inasimamiwa na Bunge, Muhimili huu unaoitwa mahakama, nani anaushikisha adabu ili utende haki? Hawa majaji tusije hangaika nao kumbe wako sponsored. Lengo la spidi hii ilikuwa nini? Au nazo ni mbinu za kisiasa? CCM style.
 
Back
Top Bottom