Baada ya engagement ring mwenzenu nimemegewa

nitafute mimi nimwaminifu natafuta mchumba:yield::yield::yield:horrra aaaaaa pole bro kwa kuvamia kichechecheee
 
kaka huyo kaa nae mbali kama moto wa petroli!! cha msingi hapo subiri mtoto azaliwe check DNA kama zinamatch mkubaliane matunzo ya hicho kimalaika. hakuna simile hapo kaka delete hadi kwenye thrash bin lasivyo utakuja juta maisha yako yotte
 
Kaka mimi mwanaume mwenzako nakushauri uamuzi uliokwisha ufanya wa kuachana naye please go on ingawaje utabakiwa na vidonda vikubwa moyoni. Huyo kwa ufupi ameshapoteza sifa ya kuwa mkewo. halafu usifikiri ameanza siku hiyo kufanya huo ufuska , ana uzoefu huyo na tayari keshampenda huyo mfanya kazi mwenzake. Mwambie aendelee na huyo jamaa . Hiyo mimba anataka kukushikiza usikubali endelea na msimamo wako hata kama home anakubalika kwani ni mke wao si wako bwana na atakaye umia ni wewe.
 
hongera sana kwa uamuzi wako huo.inaonyesha ulimuamini mno.na hongera kwa kuchukua uamuzi wa busara,maana huyo kiumbe asingetulia,watu tunawataka wanaume kama ninyi waaminifu kwa wenzi wao.huyo dada ni tapeli,maana kabla hajakuaga,honey kwa wingi.na inachosikitisha,hata mzazi wake na mdogo wake,waliuficha ukweli{unaweza ukajiuliza,au nilikuwa nachorwa tu?,jee walikuwa wanaujua uchafu wa mwanae?}
 
WE MAKALIO UNATOA USHAURI MCHAFU NA WA HOVYO HOVYO APA TENA WA KIHINI..
IVI UJISHTUKII KUWA UPO PEKE YAKO????
NAZAN UTAKUA WW NI MUHUSIKA ULIEMEGWA AU NI MDOGO MTU
>>>
Pichu yko........ dat y unawavulia wa2
ha ha ha ha unamkata mtoto asilambe sukari halafu na wewe unalamba neno PICHU YKO linatoka wapi???
 
Kaka mimi mwanaume mwenzako nakushauri uamuzi uliokwisha ufanya wa kuachana naye please go on ingawaje utabakiwa na vidonda vikubwa moyoni. Huyo kwa ufupi ameshapoteza sifa ya kuwa mkewo. halafu usifikiri ameanza siku hiyo kufanya huo ufuska , ana uzoefu huyo na tayari keshampenda huyo mfanya kazi mwenzake. Mwambie aendelee na huyo jamaa . Hiyo mimba anataka kukushikiza usikubali endelea na msimamo wako hata kama home anakubalika kwani ni mke wao si wako bwana na atakaye umia ni wewe.
umenena vyema
ver true
 
yametokea sana hayo ndg yangu MAAMUZI NI YA KWAO, 1. Muache au 2.Msamehe uendelee nae. Kama ukimuacha ni kuwa kajihukumu yeye mwenyewe kwa kutokuwa muaminifu, Kama Ukimsamehe jua jukumu lako litakuwa kulea SISI TWALA (simaanishi mimi ) ila watakuwa wanamtafuna vibaya mno.Jiulize swali anaweza kumuacha huyo jamaa aliekuwa nae usiku huo??? Kwanza umesema unamfahamu (sijui kama yeye anakufahamu) uoni ni kukudhalilisha sana kudate na mtu anaekujua ??? yawezekana walikuwa wanafanya hayo mambo kwa muda mrefu WAKIKUCHORAAA TU!!
 
...Honestly, am heartbroken na simtaki na wala simpendi tena huyu dada. She still instists that am the father hadi anakwenda nyumban kwetu kuambia kua she is expecting my baby. Sijamwambia ndugu yangu yeyote about this saga.

Je niwambie ndugu zangu na marafiki zangu wa karibu full story juu ya huyu mdada? nyumban kwetu anakubalika sana. Ntashukuru sana kwa ushauri wenu

mmh pole
sasa ivi tu mapema just pete ashaanza kuipeleka nje...afta 5yrs hali itakuwaje?
uyo kunguru ndg yangu tena kunguru kilaza kashindwa ata kujipanga vyema ili usimfume..
achana nae ..vuta subira utampata mwngne

MUNGU KAKUONYESHEA UKWELI ...utakuwa mkaidi ukikataa ukweli ambao mungu ashakuonyeshea yatayokuja kutokea mbelen
---hana ujauzito uyo ni kashda tu katika kukufanya umwonee huruma baada ya kuona hauna dalili ya kumsamehe..
---waambie ndg na jamaa zako ukweli woote wasje wakaendelea kumwona mtakatifu kumbe ni kamiss devil tu
--ni pm nikwambie mengneyo kwa kirefu
pole sana ndg yangu
muombe mungu na nakuombea mungu akuasaidie katika kipnd iki kigumu...
pole

...e bana weee, mimi wala sina haja ya kukupigia story ndefu maana watu tunatofautiana uvumilivu. Ila kiukweli na kwa amani ya maisha yako hata kama unampenda vipi, ACHANA NAE. Mimi ukiniona 24/7 nashinda kwenye jukwaa hili la mahusiano na mapenzi maana yake kuna yaliyonisibu, na yaliyonisibu ni 98.9% kama hayo yako. Moto wake na machungu yake naujua. Story yako sambamba kabisa na yaliyonitokea...
Achana nae kaka, atakuja kukuumiza tu baadae. Mimi nilijifanya mstahmilivu na mvumilivu lakini tabia 'yake' haikubadilika!

Fuata ushauri wa Rose1980.
 
WE MAKALIO UNATOA USHAURI MCHAFU NA WA HOVYO HOVYO APA TENA WA KIHINI..
IVI UJISHTUKII KUWA UPO PEKE YAKO????
NAZAN UTAKUA WW NI MUHUSIKA ULIEMEGWA AU NI MDOGO MTU
>>>
Pichu yko........ dat y unawavulia wa2



mmh
 
vipi ulishamega? au ulikuwa unasubiri uoe kwanza?
kama ulikuwa unamega cha kwanza ni kwenda angaza ujue status yako, kama uko shwari inabidi uvute punzi kubwa kabisa ya kutua mzigo
Kuhusu hiyo mimba si simple tu, jaribu kuangalia hiyo mimba ina muda gani na jaribu kuangalia kama kuna possibility ya wewe kuwa mwenye mimba,
Kuhusu mtoto, kama ulivyowaita ndugu zako na wake siku ya kumvalisha pete, inabidi uwaite tena wazazi wake na wako na uwape kitu cheupe, lakini pia kuwa safe side lazima uwaaambie kuwa mtoto akizaliwa DNA lazima ifanyike na baada ya hapo kama ni wako utamlea/au utatoa matumizi, lakini kama sio wako basi huyo mchumba wako akamtafute baba ya mtoto

mwisho kabisa na mimi nakupa pole kwa yaliyokukuta, hiyo kitu ombea isikukute shughuli yake ni pevu, anyway kitu kizuri kabisa ulichokifanya ni hiki cha kushare na watu, yaani hii ndio dawa ya broken hearts, nina uhakika utapata ushauri mzuri mno, kwa maana haya unayoyaongea sio mageni, yameshawatokea watu na wameyasovu vizuri tu na watakupa hizo njia walizotumia kusovu hii tatizo,
wala usiwe na hofu mkuu niPM tutaongea zaidi, lakini kwa faida ya wengine huyo binti hakufai

angekuwa hajamega angeambiwa mimba ya kwake we vipi
 
WE MAKALIO UNATOA USHAURI MCHAFU NA WA HOVYO HOVYO APA TENA WA KIHINI..
IVI UJISHTUKII KUWA UPO PEKE YAKO????
NAZAN UTAKUA WW NI MUHUSIKA ULIEMEGWA AU NI MDOGO MTU
>>>
Pichu yko........ dat y unawavulia wa2

Du!!! mwanamapinduzi punguza hasira!
 
angekuwa hajamega angeambiwa mimba ya kwake we vipi

Bro wakati maji yanapozidi unga hawa viumbe hawaangalii wanajishika kwenye nini! Hata kama uliishia kunawa utastaajabu kuambiwa uliacha mzigo!
 
POLE SANA
1.WAELEZE NDUGU ZAKO KILA KITU NA TOA MSIMAMO WAKO.
2.MSIMAMO WAKO NDIO UTAKUFANYA UHESHIMIKE AU UDHARAULIKE MBELE YA NDUGUZO,HAWEZI KUWA TOFAUTI NA UAMUZI WAKO
3.NAJUA WAMPENDA SANA MCHUMBAWAKO NA SINA SHAKA NAE ANAKUPENDA......JE UKO TAYARI MUWE WAWILI? MCHANGIE MKE?
4.USITEGEMEE HATA BAADA YA KUMUOA WATAACHANA NA HUYO JAMAA. HAPO KAFIKA WEWE NI NAMBA 2
5.TATIZO NI KUWA HUYO JAMAA HAMPENDI ANGEMPENDA ANGEMUOA.
6.MIMBA YAWEZA KUWA YAKO AU SI YAKO...TULIZA KICHWA CHAKO.MTOTO HANA KOSA LOLOTE.
7. KOSA KUBWA SANA NA NI USHAMBA KUMPIGA MWANAMKE.......USIRUDIE TENA SIKU NYINGINE.
8.Aaaaaa,unasema i know this guy(mwizi wako) kwa hiyo ulimpindua jamaa?
9. Mkuu unakaa na mchumba miaka miwili halafu hujamshtukia tabia zake tu?
10.Siku nyingine, USIMFUATILIE MWANAMKE KIASI HICHO, waweza ukajakujiua,au kuua kwa utakayoyaona.
11.Swali zuri sana ulilomuuliza anaangalia chanel gani?.....baada ya kujua ukweli ungetuila na kuamua moja uendelee na mipango
ya kumuoa CHANGU au LA.
Ushauri/maoni.
wewe kama wewe huna ubavu wa kumuacha huyu bibie,na ndio maana ukakubali mazungumzo. nae anajua wazi huna ubavu wa kumuacha ndio maana kakueleza ukweli kuwa alikuwa anamegwa kwa raha zake. anakujua fika ulivyo........kuwa mwisho wa yote utasema basi sweet nimekusamehe usirudie...doooh??? NYIE WANAWAKE KWA NINI MNATUTENDA HIVI SISI WANAUME???????????
Sio wanawake wot e Jamani,wapo wengi tumeumizwa hata midomo haiwezi kusema tena
akheri yake amejua hayo kabla ya ndoa ,yangetokea kwenye ndoa angefanyaje:thinking:
mapenzi jamani !!!!!!!!!!!!!!!!!!!,mapenzi ah mie mwenzake kupenda tena siwenzi:A S cry: ah sijui I CAN NEVER
LOVE AGAIN,NEVER TRY AGAIN.:israel: NAKUPA POLE SIKU HAZIGANDI UTAPATA KUPOA MAJERAHA JAPO KIDOGO:sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad:
 
kumegewa mbona kitu cha kawaida...? na we tafuta mnyonge ummegee.. hahaha seriously broda! achana naye huyo demu, hawa mademu wa college inabidi penalt ukabe mbaya broda.. pole! ipo siku atakuja wa ukweli.. single ladies they are everywhere...
 
Najua unakwazika sio kwa kumpenda huyo msichana, ila unajutia muda (na vingine) uliowekeza kwa huyo kicheche...
Bro, accept the loss and move on....life sucks but we gotta move on!
 
WE MAKALIO UNATOA USHAURI MCHAFU NA WA HOVYO HOVYO APA TENA WA KIHINI..
IVI UJISHTUKII KUWA UPO PEKE YAKO????
NAZAN UTAKUA WW NI MUHUSIKA ULIEMEGWA AU NI MDOGO MTU
>>>
Pichu yko........ dat y unawavulia wa2
:smile-big: Kaka hapo umemaliza maana nilikuwa natafuta maneno yanayomfaa huyu mtu, but u have done it all, kenge kweli huyu jamaa
 
MONTESQUIEU Kama kakwambia ukweli msamehe, je ungekuwa wewe ndio umefanya hivyo usingependa usamehewe? Na kama bado unampenda go for her, sahau ya nyuma subiri mtoto azaliwe , mpime dna kama wa kwako wachukue mama na mwana songa mbele!

Unasema ukimaanisha hapo kwenye nyekundu? Acha kabisa ndugu mapema hivyo wako kwenye engagement tayari kashagawa? Ni mwanamke wa kuweka ndani huyo? Hapana, atakutia ungonjwa wa moyo bure ukikaa naye kwenye ndoa acahana naye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom