Baada ya CHADEMA kwenda kusini CCM nao waende Kaskazini

CDM majidanganya sana ngojeni CCM imalize chaguzi zake mwezi wa tisa au kumi ndio mtajua kuwa CCM ni chama tawala nchi hii na kipenzi cha watanzania.Nafikiri mtaishia kusema aah wamewatoa kwa mabasi ngorongoro,Babati nk kama mlivyozoea kila CCM inapofanya mikutano yake. CCM ni chama tawala milele.

Tunajua CCM ni chama TWAWALA na kipenzi cha MAFISADI ndio maana maendeleo hakuna hivyo hatutashangaa kama wakiendeleza unyonyaji wakimaliza kuchagua mafisadi wazuri zaidi
 
CDM majidanganya sana ngojeni CCM imalize chaguzi zake mwezi wa tisa au kumi ndio mtajua kuwa CCM ni chama tawala nchi hii na kipenzi cha watanzania.Nafikiri mtaishia kusema aah wamewatoa kwa mabasi ngorongoro,Babati nk kama mlivyozoea kila CCM inapofanya mikutano yake. CCM ni chama tawala milele.

Nahisi u2mii kichwa kwa kuwaza!
 
Kwa maelezo aliyoyatoa Bw. Guninita wakati akitoa mpango wao wa mwendelezo wa mikutano alieleza kuwa lengo lao ni Kuandaa mkutano mwingine Kinondoni na Temeke na wala siyo Mikoani.Changa la macho.......
 
Unachandika bado akiingi akilini ndugu ukweli upo pale pale kuhusu ukabila na udini wa Chadema na siku zinavyozidi kwenda tutakuletea taarifa zaidi,sipendi siasa na sipendi uozo wa CHADEMA.....huku Yombo vituka kuna makundi ya wachaga yanapita kununua mashina yaliyo kuwa ya CUF kwa pesa nyingi....inaonyesha wazi mikakati yao nikuigawa nchi...kingine ni kutokuwa na sera....waelezeni nyie kama nyie mmejiandaa vipi kuongoza nchi na sio kutumia maneno ya kejeli..hao watu sio wajinga mbinu zenu chafu walitumia NCCR- MAGEUZI na CUF wapo wapi?????

Ndugu wewe unachokiandika kinaingia akilini kweli?
 
hivi Dr Slaa, Zitto, Sugu etc ni wachaga wa wapi vile?

piga hodi jamvini, siyo unaingia tu kama public toilets
 
Si public toilet tu tena kakosea kaingia cha jinsia tofauti halafu kashindwa kulengesha tundu la choo cha shimo la udongo!!! Hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania? Thubutu. Liwalo na liwe saa ya ukombozi iiiii sasa!!!
 
Back
Top Bottom