Baada ya CCM kuzidi kukimbiwa, Nape atoa kauli hii

Yaani sioni tofauti kati ya Nape na yule chief propagandist wa Sadam Hussein...AL-SAHAF wakati ukweli unaonekana wazi.
 
Huyu ni mbwa koko anayebweka bweka hovyo lkn hawezi kung'ata,
leo ndo unagundua kuwa millya alikuwa mzigo????
Mtu yeyote makini na mzalendo hawezi kuvumilia kuwa chama cha magamba unless ana maslahi binafsi au anatumiwa na baadhi ya makundi ya watu kama wewe,
 
Nape fanya maamuzi magumu sasa hivi. ukichelewa itakuwa vigumu sana kukupokea. unavyozidi kukaa huko ndo unavyopoteza sifa za kuwa kamanda. fuata nyayo za mwenzako wa A town. ukombozi uko huku mazee. chelea mwana
 
Back
Top Bottom