Baada ya Bunge Live, sa'ivi ni UEFA Live.. R.Madrid vs Bayern.M

Madrid alikua anyukwe km goli 4 au 5 hv, clear penalties mbili ambazo Webb kaziminya plus goli la wazi Gomez kapaisha mpira
 
Hao Buyern Munich wataend kufa Madrid tu. Kam unavyojua hakun mgen aliyegus hom kwa Real akatok mzima. Atapigw 3-0
 
Madrid alikua anyukwe km goli 4 au 5 hv, clear penalties mbili ambazo Webb kaziminya plus goli la wazi Gomez kapaisha mpira

Exactly! Na mi nawambieni kesho, no i mean leo baadaye (nilikuwa sijaangalia saa) hao miungu wenu wa kabumbu Barca wanatembezewa mkong'oto na The Blues! ha ha ha haaaa! Mi nakwambieni haki ya nani! Chelsae haters wote mtashangaa!

MY PREDICTION FOR THE UEFA FINAL 2012:
Chelsea vs B. Munich!
 
Back
Top Bottom