Baada ya bajeti ya nishati na madini kupita mgao wa umeme warudi kwa kasi

Rumishaeli

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
227
72
Duuuh hali inatisha Wenje kasimama kuomba kujadili swala la umeme kwani mgao huko mwanza una siku nne. Jamani huu uchumi utakua kwa hali hii? Naona spika kampotezea kana kwamba si hoja muhimu.
 
Back
Top Bottom