Baaada ya magari zooezi la mikanda lihamie kwe wanaume!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,134
Kama kweli hiili zoezi litakuwa endelevu serikali itakuw imefanya jambo la maana sana no matter nani amekula dili ya mikanda......hivyo basi tukiwa kama watanzania tunaopenda kuppendeza tunaomba zoezi hili lihamie kwa wanaume wanaochomolea mikanda...kuna watu unawakuta wamevaa ngu shati zinaninginia vipande mmoja nje mwingine umechomekewa tunaitaji kuwapa angalizo ili waweze kujua jinsi ya kutoka,,..tunawatakiwa jumapili njema wote
alamsiki
 
Back
Top Bottom