Nenda kuna Bar moja inaitwa MIAMI pale karibu na keep left ya kuingia mjini,ukimuulizia mtu yeyote atakuonyesha
Siku nyingine pitia Pub +255.
Dah, yaani kuingia tu ugenini cha kwanza kutafutwa ni Bar...
Tafuta mutu inaitwa Teamo. Yea anajua baa zote za Iringa na majina ya wahudumu wote.Wana Iringa, wapi nawezakukaa na kusukuma w'end yangu hapa Iringa tawn? Nimefika nikauliza wenyeji wakaniambia niende New Life bar. Nipo hapa ila cjapapenda. Wapi pamechangamka na pazuri?
ipo maeneo gani hyo mkuu?
Mkuu hawa ndo wanaoiendesha nchi, kupitia kodi wanazokatwa kwenye bia.
kama unatafuta chips funga hapo patakufaa!Nenda kuna Bar moja inaitwa MIAMI pale karibu na keep left ya kuingia mjini,ukimuulizia mtu yeyote atakuonyesha