Baa iliyopo magomeni garden inavunjwa

jana nilipata pale nikaona ule upuuzi ! hivi wenzetu hizo shule zenu zinawasaidia nini ? bora yule Meya wa Ilala wakati mwingine ana idea za kumuingia mtu akilini !
 
ni sahihi kuivunja kwanini kila eneo la wazi livamiwe na baa zinaweza kuwekwa sehemu nyingi hata nilipoona inajengwa nilishangaa sana
 
Back
Top Bottom