Ba of sc in actuarial sciences

yeah mkubwa

kwanza hongera sana..afu kuhusu market ondoa shaka mana ni program mpya kwa hapa bongo na still watu wake wanahitajika saaaaana!! cha mwimu kapige book kwa juhud na kumwomba mungu maana kudisco na sap pia zipo!!!
ALL THE BEST MKUU..........
 
kwanza hongera sana..afu kuhusu market ondoa shaka mana ni program mpya kwa hapa bongo na still watu wake wanahitajika saaaaana!! Cha mwimu kapige book kwa juhud na kumwomba mungu maana kudisco na sap pia zipo!!!
All the best mkuu..........
pamoja kaka ni kukomaa na kupray 2.............pamoja sana
 
uwetayari kwenda baharini kupiga mbizi mana ni moja ya somo huko..kunduchi beach
 
Back
Top Bottom