B.co ib at udom

KIJAMBO

Member
Sep 3, 2012
30
5
Jamani n new member pia first year at udom, but nahitaji kujua about my course ( commerce in international business)...........? Imeanza lini pia ipo wapi na wapi? Soko la ajira je?
 
dogo tulia, hujapotea ni mashavu ya kutosha, u'r n right choie, hiyo coz ip dom tu, me naingia 2rd yr hapohapo, xo cool mwaka huu ndo product ya kwanza inaenda mtaani, dogo hiyo coz asije akakudanganya mtu iko vizuri mno
 
Usiogope dogo ndotunaelekea kwenye soko la ajira la east africa, its my couse,ukija ulizia profesa second year,pamoja sana mkubwa
 
dogo tulia, hujapotea ni mashavu ya kutosha, u'r n right choie, hiyo coz ip dom tu, me naingia 2rd yr hapohapo, xo cool mwaka huu ndo product ya kwanza inaenda mtaani, dogo hiyo coz asije akakudanganya mtu iko vizuri mno,POST YOUR NAME MKUBWA BY PROFESA
 
jaman me nataka anayejua, so kwa ww ucyejua na kulopoka poteza tuuu............
 
pia Ib ipo kampala Internationa university, ile ya gongolamboto ila ile co B.com ile ni bachelor degree in international business, xo cc tupo wide mno, masters yake inapatikana UDSM na IFM tu, ila ya IFM sio B.com ile ni MBA IN INTERNATIONAL BUSINESS yaani masters of Business Administration In Internaional Business, xo mpango mzima kwa wana wa Ib upo hivo, na kuhusu mashavu ya ajira ni yaku toushaaaaa, mnataka niweke baadhi ya caria au kazi zenu kama IB hapa kwenye thread?
 
Back
Top Bottom