B 4 & after marriage

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Jamani hivi kwa nini haya mambo hutokea kabla na baada ya ndoa?
b4 marriage.png
 
Baada ya kuoana watu wanazoeana na kufahamiana kwa undani zaidi...
Kama before mtu alikua anapretend hawezi kuendelea kupretend forever lazima tabia za asili zitajitokeza na hapo kila mmoja anahisi alifanya wrong choice...
Mi naogopa sana ndoa jamani..ngoja nizeeke zeeke kwanza lol!
 
Dah ni kuchokana huku lol
Mapenzi ni kama nguo lazma itafubaa tu hata iwe original...
Ni suala la muda tu
 
sio wote lakini...kuna wengine after marriage utafikiri ndo kwanza wamekutana leo
 
Back
Top Bottom