Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini

Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!
Hata Kayafa (kuhani Mkuu wakati wa Yesu), aliamini Yesu anafanya utani. This man is overly deceived like Caiphas
 
wewe ni kijana wa chadema unapewa posho na chama chako cha kibaguzi ili kuisema vibaya CCM na serikali yake ndiyo nyie washawishi wa migomo yote na wachochezi wa fujo zote hapa nchini leo ngugu xetu wengi wanapata tabu mahospitalini na wengine kufariki kwa sababu ya chadema kuwachochea madaktari kugoma,kataa chadema ili kulinda Umoja wetu, na Mshikamano wa watanzania!


Kama CDM ni chama cha kibaguzi mwambieni msajili wa vyama ambaye ni kada wa chama cha mapinduzi akifute. Vinginevyo hizo propaganda zenu hazitawasidia wakati ambao chama chenu magamba kipo ICU.Tumeona jinsi CCM inavyohangaika na propaganda, vitisho na mauaji ili kiendelee kuwa madarakani. Ifahamike kuwa wananchi wengi wanaufahamu wa kutosha kuhusu utendaji mbovu wa CCM; ushahidi mmojawapo ni CCM kushindwa ktk chaguzi nyingi za serikali za mitaa. Baada ya kuona hayo CCM imeamua kupindisha sheria; kimekataa serikali yake chini ya ofisi ya waziri mkuu kufanya uchaguzi wa kujaza nafasi zilizoachwa na wenyeviti na wajumbe wa serikali za vijiji na mitaa waliohamia CDM.


Hata kama mtaamua kuendele na mbinu zenu chafu za mauaji kamwe hamtashinda nguvu ya umma.
 
Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!

Nnauye bwana anapenda kuendelea kukiua chama habari hizi ni za kweli mimi ni mtumishi pia wa serikali haya mambo yapo kitambo ukijulikana unashabikia halafu viongozi wa ccm wilaya wakagundua utapatashida sana utaambiwa unaleta siasa kazini na mambo chungu nzima Nape akibisha mifano ipo kama ya akina Dr Mgonde Morogoro Reginal Hospital.
 
-Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao
-majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa wanachama wa upinza kisha kuwashusha vyeo au kuwaamishia sehemu mbaya plus polini zaidi au kuwaulimboka....na n.k

kwani wametumia kila mbinu zinakwama... je kwani hivi jamani chama cha mzee wangu....???????
nawasilisha!

SOURCE: Mjumbe wa maazimio hayo.

sijui nini watfanya sahihi hawa jamaa
 
Kila mnalolipanga linajulikana na wala hamshituki, Jamani ccm jueni kuwa ndani yenu hakuna siri, maana hata miongoni mwenu watu wamechoka na mambo yanavyoenda. Nawashauri muendeshe siasa safi na muache umma utaamua, lakini kwa mbinu zenu hizo za kishetani mtaumbuka, maana kwa sasa hamjui nani ni mwaminifu kwenu, hata hao usalama wa Taifa mnaowatumia mnajidanganya tu, badilikeni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom