Anafaa kuwekwa kiti moto na kuulizwa kama ujamaa ulikuwa ni ndoto je, Watanzania wamefaidika vipi baada ya kuvunjwa Azimio la Arusha na kuukumbatia ubepari?
Jamani naomba tusome kwa makini azimio la arusha ....tuangalie kama kuna kipengele ambacho hakifai kwa wakati tulionao...je ni kweli AZIMIO LA ARUSHA limepitwa na wakati.....?
mwalimu yeye alisema hakuona ubaya wa azimio la arusha labda watu wajadili kuongeza nukta au kuondoa....je tunapokosa dira kama taifa ..si wakati wa kulirudia azimio la arusha???
5 February 1967
The Arusha Declaration
Written: for Tanganyika African National Union by Julius Nyerere, 1967;
The Declaration was discussed and then published in Swahili. This revised English Translation clarifies ambiguities which existed in the translation originally issued.
The Arusha Declaration and TANU's Policy on Socialism and Self-Reliance
PART ONE
The TANU Creed
The policy of TANU is to build a socialist state. The principles of socialism are laid down in the TANU Constitution and they are as follows:
WHEREAS TANU believes:
(a) That all human beings are equal;
(b) That every individual has a right to dignity and respect;
(c) That every citizen is an integral part of the nation and has the right to take an equal part in Government at local, regional and national level;
(d) That every citizen has the right to freedom of expression, of movement, of religious belief and of association within the context of the law;
(e) That every individual has the right to receive from society protection of his life and of property held according to law;
(f) That every individual has the right to receive a just return for his labour;
(g) That all citizens together possess all the natural resources of the country in trust for their descendants;
(h) That in order to ensure economic justice the state must have effective control over the principal means of production; and
(i) That it is the responsibility of the state to intervene actively in the economic life of the nation so as to ensure the well-being of all citizens, and so as to prevent the exploitation of one person by another or one group by another, and so as to prevent the accumulation of wealth to an extent which is inconsistent with the existence of a classless society.
NOW, THEREFORE, the principal aims and objects of TANU shall be as follows:
(a) To consolidate and maintain the independence of this country and the freedom of its people;
(b) To safeguard the inherent dignity of the individual in accordance with the Universal Declaration of Human Rights;
(c) To ensure that this country shall be governed by a democratic socialist government of the people;
(d) To co-operate with all political parties in Africa engaged in the liberation of all Africa;
(e) To see that the Government mobilizes all the resources of this country towards the elimination of poverty, ignorance and disease;
(f) To see that the Government actively assists in the formation and maintenance of co-operative organizations;
(g) to see that wherever possible the Government itself directly participates in the economic development of this country;
(h) To see that the Government gives equal opportunity to all men and women irrespective of race, religion or status;
(i) To see that the Government eradicates all types of exploitation, intimidation, discrimination, bribery and corruption;
(j) To see that the Government exercises effective control over the principal means of production and pursues policies which facilitate the way to collective ownership of the resources of this country;
(k) To see that the Government co-operates with other states in Africa in bringing about African unity;
(l) To see that Government works tirelessly towards world peace and security through the United Nations Organization.
Kwa maoni yangu binafsi Azimio la Arusha was a piece of crap. Halikufaa 1967, hafai leo na miaka inayokuja.
Baada ya kupata uhuru, baadhi ya viongozi wa Afrika : Sekou Toure, Nyerere, Kwame, walijiingiza kwenye utungaji wa miongozo kwa kuiga Urusi na Wachina.
Lakini kazi zao zote zilikuwa impractical na ziliacha nchi zao masikini kuliko walivyozikuta.
Azimio la Arusha ni kitabu cha ideology ya chama cha siasa. Na mpaka sasa Tanzania sio nchi ya kuongozwa kwa ideology. Hivyo basi hakuna kinachofaa kutoka kwenye azimio hilo kwa sababu watanzania ni watu wenye ideologies na imani tofauti.
Kinacho tuunganisha watanzania ni katiba ya nchi. Hivyo katiba ilekebishwe kujibu mapungufu yanayojitokeza sasa.
What is true in Arusha Declaration is not new and what is new in Arusha Declaration is not true.
-
- Sasa leo hii 21st Century, sio wakati wa kulilia maneno ya Azimio La Arusha jamani, yale yalishapitwa na wakati, huu ni wakati wa kulilia utawala unaoheshimu sheria kwanza! Kulilia kuongozwa na maneno ya Azimio La Arusha, ni kulilia utawala wa CCM milele, hebu tuamkeni kidogo wananchi na huu usingizi mzito sana tuliorogwa wa-Tanzania!
Respect.
FMEs!
- Tatizo ni kwamba hata Mwalimu mwenyewe lilimshinda kulitekeleza, in the process aliwapa free pass washikaji zake wa karibu na hili Azimio, na matokeo ni yale yale mpaka leo tunaendelea kupeana free pass na maadili ya uongozi mpaka kwenye sheria,
- Katika maisha ni kama kwenye siasa au sheria pia, huwezi kupanda mahindi ukavuna mihogo, Mwalimu angekua serious na implemantations ya lile Azimio, Tanzania leo tusingekua na haya matatizo tuliyonayo yaani maadili ya uongozi,
- Sasa leo hii 21st Century, sio wakati wa kulilia maneno ya Azimio La Arusha jamani, yale yalishapitwa na wakati, huu ni wakati wa kulilia utawala unaoheshimu sheria kwanza! Kulilia kuongozwa na maneno ya Azimio La Arusha, ni kulilia utawala wa CCM milele, hebu tuamkeni kidogo wananchi na huu usingizi mzito sana tuliorogwa wa-Tanzania!
Respect.
FMEs!
Jamani naomba tusome kwa makini azimio la arusha ....tuangalie kama kuna kipengele ambacho hakifai kwa wakati tulionao...je ni kweli AZIMIO LA ARUSHA limepitwa na wakati.....?
mwalimu yeye alisema hakuona ubaya wa azimio la arusha labda watu wajadili kuongeza nukta au kuondoa....je tunapokosa dira kama taifa ..si wakati wa kulirudia azimio la arusha???