Azam yatimua kocha wamludisha stewart

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,511
2,034
Kizungumkuti cha azam kwenye soka la tanzania bado kinaitesa azam. Bada ya kumfukuza kocha wake wa sasa na kuludia matapishi na kumleta tena stewart.
Source michezo radio1
 
kwa mtindo huu mpira kuendelea tanzania ni hadithi!!Arsenal kila siku wanaambulia kichapo ktk mechi muhimu lakini hawajumtumia kocha mpaka leo
 
Huyo Stewart akikubali kurudi nitamshangaa sana!!amefukuzwa kama day worker vile asiye na mkataba
 
Huyo Stewart akikubali kurudi nitamshangaa sana!!amefukuzwa kama day worker vile asiye na mkataba

na jumamosi azam ajue kichapo cha yanga kiko palepale, watamtimua tena stewart?
Azam wabadilike waache kua vibaraka wa simba wataendelea la sivo tutawasahau kama tulivowasahau kajumulo, moro untd, na wengineo
 
azam walipotea njia walipo mtimua stewart!aliifanya azam icheze mpira mzuri na kuipatia mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kucheza fainali ya kagame!!wasiojua mpira wakamtimua eti kwa kupoteza mechi ya yanga!!!!
 
unazi na simba ndo umewaponza,wamepanua kirahisi kama maharage ya mbeya,pumbavu eti wanajigamba jumamosi ni bora kubakwa na yanga kuliko kupanua goli kirahisi kama kwa simba,mm nashangaa mijitu mingine hata isiyo na aibu kuisifia azam kuwa timu nzuri,subiri juma5 mtajua kuwa polisi moro ni wazuri sio kama ngende azam.mia
 
Huyo Stewart akikubali kurudi nitamshangaa sana!!amefukuzwa kama day worker vile asiye na mkataba

Mkuu, usije ukashanga. Utakumbuka Mserbia Papic wa Yanga alifukuzwa alipoitwa akaja akafukuzwa tena. Hawa makocha nawafananisha na mbwa ambaye anaweza kupewa kichapo cha nguvu, bosi wake akimuita hurejea kwa nidhamu kali huku akichezesha mkia wake.

Hawa makocha hawana dili kwingine isipokuwa hapa TZ, hakuna shaka jamaa atarudi tu kuganga njaa.
 
kwa mtindo huu mpira kuendelea tanzania ni hadithi!!Arsenal kila siku wanaambulia kichapo ktk mechi muhimu lakini hawajumtumia kocha mpaka leo

Wewe uko ulaya fukuza fukuza uzione angalia CHELSEA,MAN CITY na MADRID ni sample space nzuri Hao ARSENAL ata wazungu wenzao wanashangaa kwanini hawatimui huyo BABU usikurupuke kutoa mifano ya ulaya bila kuwa na data za kutosha.
 
kwa mtindo huu mpira kuendelea tanzania ni hadithi!!Arsenal kila siku wanaambulia kichapo ktk mechi muhimu lakini hawajumtumia kocha mpaka leo
WEWE kwakweli hujielewi, huoni madrid na chelsea wanachofanya? azam ndo timu hakuna ujinga wa simba na yanga
 
Hadi jana mchana nilikuwa nashangaa kwanini walikuwa hawajamtimua tu yule M'serbia,yule alikuwa anawazika mazima hlf sijui alipewa fungu na yule "Mhaini" mana'ke hawa Wazungu wengine ni njaa tupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom