mwanaharakatihalisi1
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 107
- 25
Kuna watu wanachanganya kutoa msaada na kujitangaza.
Kuna watu wanatoa zaidi ya mengi na hawajitangazi na dini ndio inataka hivyo unatoa mkono wa kulia hata wa kushoto haujui.
Naona sasa Mh wenu wa itv ana bifu binafsi na muhongo baada ya muhongo kuhalalisha ukatwaji wa umeme hadi kwenye ukanda wa viwanda vyake.
Mbona ukanda mwingine wa viwanda wanakata umeme.
Kuna mawaziri wanaofanya vibaya kuliko muhongo lakini yeye kamng'ang'ania huyo kutokana na hilo kama enzi zile za masilingi.