MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Nimenunua juice ya machungwa ya Azam leo jioni maeneo ya Tegeta, nimefika nyumbani ilipofunguliwa ndani nimekuta juice ya ajabu. Inaelekea huyu jamaa wa Tegeta anakusanya maboxi yaliyotumika ya azam na kukamua machungwa na kufunga, juu ya boxi inaonyesha tarehe ya kufunga ilikuwa ni 10/12/2011 na tarehe ya mwisho kutumika ni tarehe 10/12/2012.
Nimejifunza uangalifu wa hali ya juu unahitajika ninaponunua vyakula, juice na maji.
Nimejifunza uangalifu wa hali ya juu unahitajika ninaponunua vyakula, juice na maji.