Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

Hilo basi lingekuwa linaingia uwanjan na kucheza hapo sawa!!! Hata wanunue ndege ubingwa watausikia kwenyewe kipindi cha spot cha redio one period!!

Tunataka mafanikio ya uwanjani,watu hawajui hilo bus limenunuliwa na Bakhresa,Azam as football club hawana ubavu wa kununua hilo bus
 
Home » Unlabelled » BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA
Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki

acha uongo ili basi halifanani ata kidogo na izo timu ulizotaja....ila azam nimewapa hongera wamejitahidi
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Higer ni mabasi ya Kichina. Ngoja tuone kama bado litakuwa barabarani baada ya miaka miwili.
 
mleta mada muongo au laaa hajui magari.inamaana man u, barcelona,buyern wanatumia mabasi ya kichina?? Je na wenye ndege tp mazembe wameshindwa kununua hili basi la kichina?
 
mleta mada muongo au laaa hajui magari.inamaana man u, barcelona,buyern wanatumia mabasi ya kichina?? Je na wenye ndege tp mazembe wameshindwa kununua hili basi la kichina?

Tatizo la mleta mada ni mtu wa copy and paste
 
higer, basi la mchina hilo,, af la kawaida tu ila wabongo hatuja yazoea. Zambia, zimbabwe zina tumika kama school bus pia
 
Tunataka mafanikio ya uwanjani,watu hawajui hilo bus limenunuliwa na Bakhresa,Azam as football club hawana ubavu wa kununua hilo bus

hivi unajua ulichoandika kweli!!!!?? nina wasiwasi ..............
 
crewe_team_bus_16349.jpg

basi la Mani U
 
hivi unajua ulichoandika kweli!!!!?? nina wasiwasi ..............

Wewe umeandika au umecopy na ukaja kupaste hapa?

Hiyo hela imetoka kwa Bakhresa nimekwambia Azam Fc wanaingiza mapato gani hadi wanunue hilo bus?
 
Back
Top Bottom