AYUMI (Mbwa) Amepotea

Duh, huu ni mtihani kweli. Yaani unatafuta mbwa aliyepotea hapa Bongo na wachina wote hawa waliojazana mpaka uswahilini utampata kweli? Sikukatishi tamaa lakini hii ni sawa na kutafuta dhahabu jangwani, maana siku hizi hata wabongo wanachuna mbwa na kuuza mishikaki usiku bar na sehemu zingine za biashara. Poleni kwa kufiwa.
 
pole, ungesema dau lako vijana wangechangamkia
peleka na tangazo radio za vijana utampata ukishaweka dau
 
Back
Top Bottom