Ayoub ametangulia South Africa; Je, Ulimboka atapona?

inaelekea watu wengine wanapoanzisha thread wanakua wamelewa! rubbish.................... umepata wapi habari za ayoub? hiki siyo kijiwe cha kahawa au baa. tumia ubongo!
mleta mada ni miongoni mwa watu wanao ingia jf kwa matukio hasa pale selikali inapo jampa wanajitahidi sana kupuliza pafyumu ili wafiche harufu!.(nautangaza usalama wa taifa kuwa janga la kitaifa ndo waliotufikisha hapa)
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.
Samwel Doe alikuwa rais wa Liberia, hakuwa Angola; nadhani wewe unamaanisha Jonas Savimbi.
 
Small brain people rahisi sana kuwa distract ndio CCM na serikali yake wanavyotufanyie. Sasa mtu katoa serious issue ya usalama na matendo ya kutatanisha wa wauji, okay huyo mwenzetu kachemsha, labda typo labda ubongo umeenda pembeni ama labda issues zimempita pembeni, mtu mmoja amesha point out, wengine wote wametoka kwenye mada wako kwenye kejeli na kashfa kwa huyu bwana, what is wrong na watanzania? tunajali sana kudhalilishana kushambuliana, Ulimboka ameponea chupuchupu na wauaji tunawajua kwa majina na kila kitu, mpaka leo tunauma uma vidole hakuna hatua tunayochukua, tumebaki mungu atamlinda, wewe unafanya nini kumlinda? ulimboka hana tofauti na wewe na mimi ambao hatuna ma god father na hatuna nchi nyingine ya kwenda, na hawa watu wanatusaga kama siafu, hawatakoma hawa mpaka watuingize vidole matakoni, what are we doing jamani? hakuna strategy tumebaki vuvuzela kila mtu anajua kinachoendelea siku ya tatu leo hakuna habari mpya kila mtu ni hadithi ile ile angle tofauti, tumesema haraka sana watu wajitolee kuunda tume huru hatuhitaji tume iundwe na serikali ya wauaji, tuko kimya hakuna anayesogea, tumesema waandishi wahabari mahiri wajizindua utafiti wa ki intelijensia, wangine tumewataja hata kwa majina humu, kimya kila mtu anakaa vizuri apate u DC, hamuupati ngo' mtafia majanini kama panzi kama sisi wengine, labda tuamua leo hawa mbwa watoke, what is Pinda doing mpaka sasa kwani anahitaji lugha gani kuambiwa kwamba yeye ndio muuaji, anataka mpaka amambiwe na mungu? hana shukurani dawa za kurefusha maisha analipiwa kwa kodi yetu, hiyo haiimtoshi mpaka aue watoto wetu shukurani ya punda, mbona sisi hatukusema na afe maana kajitakia.
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

Pole wee!!! Samweli Doe na Angola wapi na wapi!! Samuel Kanyon Doe aliyeuwawa tarehe 09 September 1990 alikuwa kiongozi dhulumati wa Liberia. Au umejichanganya wamfikiria Jonas Malheiro Savimb kiongozi wa UNITA aliyeuawa tarehe 22 February 2002 na majeshi shupavu ya Angola???
 
Mungu si aw Ulimboka tu hata wale tulioathiriwa na mgomo bado Ni wa Mungu huyo huyo labda Kama yeye ana wake pekee Au kajimilikisha
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

Mkuu Jackbauer,
Kumbe Samuel Doe alikuwa kiongozi wa Angola sio Liberia?
 
Kuna wajanja wa serikali wanaenda nje ya mada kukosoa ili kuondoa maana halisi kweli magamba mna trick nyingi.
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

Samwel Doe na Angola wapi na wapi tena?? Huyu si alikuwa rais wa Liberia usimchanganye na Savimbi et!!
 
Ayoub ambaye alikuwa anawasiliana na ulimboka mpaka mda wa tukio na aliyemsaliti ulimboka na huyu ayoub aliye tangulia south africa je ulimboka ataapona??

Sidhani kama serikali itakuwa jinga kiasi hicho!
Ayoub amepelekwa SA kupoteza ushahidi,ila dili la kumuua dr limebumbuluka!
 
Ghadafi na ubabe wake wote aliingizwa vijiti matakoni kabla hajafa ..so hii itafika tu wala hatuna haraka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ninaimani timu ya usalama na matibabu wamefanya uamzi sahihi na hata Huyo Abdul sijui Abel atambue hata pembeni yake pia kuna majasusi wanamfatilia pia. a

(Reason: Majasusi hawana ofisi maalum hata ndani ya timu inayomtibu Dr Ulimboka pengine wamo.)
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

Ooooopssssss!!! yani watu wote mmeamua kuhamishia mashambulizi kwa Jackbauer badala ya kusimama kwenye hoja ya Ayubu kutangulia sauzi!! mmetiririkaaaaaaaa,,,,,,!!!

Samuel Doe na Angola wapi na wapi mkuu??
Angola ni Savimbi na hakuwahi kushika madaraka ya juu zaidi ya yale aliogawana na Dos Santos kumpoza ambayo nayo aliyakataa.

Mkuu Jackbauer , Sajin SAMWEL DOE alikuwa wa Liberia. na Angola ni mhasi(rebel) Jonas Savimbi.

Ulimaanisha Jonas Savimbi?

Yule ni Savimbi siyo Samuel Doe

samuel doe alikuwa liberia, Angola ni Jonas Savimbi

...Hii ni aina ya daktari anayepasua kichwa badala ya mguu,sikuzote uwa nachagua sana Daktari wa kunitibu kwa kuzingatia ubora wake,sio kila Daktari tu ilmuradi ana karatasi....

mkuu umesoma historia ya wapi..?

Samuel Doe ni Liberia...aliuawa na kikundi cha bwana mmoja akiitwa Price Johnson, huyu Johnson alikuwa na kikundi chake tofauti na kile cha Charles Taylor.

Angola ni Jonas Savimbi mkuu.

by the way...nashindwa kupata mantiki ya posting yako katika muktadha wa mada inayojadiliwa.....unataka kusema kuwa Dkt Ulimboka ni kama Savimbi...i dont get you man!

Mkumbushe kuwa ni Liberia.

Samuel Doe alikuwa aw Angola au Liberia? We better check our facts before submission.

Samuel Doe ni wa Liberia. Sasa mambo ya Angola yametoka wapi!!! Vilaza wengine bwana!!

Jackbauer ur so inteligent, good job!

Hapo kwenye red sio yeye msameheni ni viroba jogoo!

du wewe mwisho mbona tuna vilaza yu humu siku hizi....samwel doe wapi na wapi na angola wewe...
samuel doe ni mwanajeshi alipindua serikali ya liberia ya William Tolbert.na yeye mwenyewe kupinduliwa na kunyongwa na price johnson nae alikuja kuuliwa na charles taylor
fanya utafiti kabla kutuandikia utumbo humu unahaja server.

Mkuu Angola na Samwel Doe wapi na wapi?au unamaanisha Liberia?

Samwel Doe alikuwa rais wa Liberia, hakuwa Angola; nadhani wewe unamaanisha Jonas Savimbi.

mkuu ni Jonas Savimbi

jack Bauer leo umekamatika...
Ndio ukome kukurupuka mzee mwenzangu.

Pole wee!!! Samweli Doe na Angola wapi na wapi!! Samuel Kanyon Doe aliyeuwawa tarehe 09 September 1990 alikuwa kiongozi dhulumati wa Liberia. Au umejichanganya wamfikiria Jonas Malheiro Savimb kiongozi wa UNITA aliyeuawa tarehe 22 February 2002 na majeshi shupavu ya Angola???

Mkuu Jackbauer,
Kumbe Samuel Doe alikuwa kiongozi wa Angola sio Liberia?

Samwel Doe na Angola wapi na wapi tena?? Huyu si alikuwa rais wa Liberia usimchanganye na Savimbi et!!

Bora ninyi mmeshitukia jinsi watu walivyopoteana hapa. Lakini hakuna aliyewasikiliza.

JaMAN MNABOA TAYAR JAMAA ALISHASAHIHISHWA KWAMBA NI WA LIBERIA NA SI SAVIMBI, LAKIN KILA M2 ANARUDIA KULA MATAPISH, NDO TUJUE MNAIFAHAM SANA HISTORIA..KHAAAA

Duh! Wabongo kwa kukosoa noma!
Mpaka mjadala wa uzi umepotea na kugeuka kwenye kumkosoa Jackbauer
 
Last edited by a moderator:
samwel doe hakuwahi kuwa angola ni wa liberia, kama huna hakika kaa kimya!
 
baada ya kifo cha samwel doe tulishuhudia utulivu mkubwa sana angola na sasa Angola ni kinara wa maendeleo afrika.viongozi wa angola wamekuwa makini,heshima kati ya serikali na wenyenchi ni kubwa sana.

Angola ilitulia baada ya kifo cha Jonas Savimbi aliyekua muasi, je kuna mtu wa aina hiyo Tz? acheni unafiki
 
Mkuu afadhali hata wewe umestukia hii pre-emptive strategy ya watu waliopangwa kuzima mijadala na hoja za unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka. Hii ni kusudi kabisa kuwatoa watu kwenye key issue. Na huyu jamaa kashambuliwa kwa sababu huwa ana expose issue zao nyingi na kuiacha uchi serikali kwa kila njama.

Ooooopssssss!!! yani watu wote mmeamua kuhamishia mashambulizi kwa Jackbauer badala ya kusimama kwenye hoja ya Ayubu kutangulia sauzi!! mmetiririkaaaaaaaa,,,,,,!!!

Mkuu

Bora ninyi mmeshitukia jinsi watu walivyopoteana hapa. Lakini hakuna aliyewasikiliza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom