AY na RIHANNA

Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?

Hizo porojo tu.

Huo ni uzushi. Rihana hajui kuwa kuna mziki aina ya Bongofleva.

Hakika katika nyimbo alizovuruga ay ni huu wimbo hausikiliziki ni kelele tu hohoooooooo, kweli wasanii wetu wana kazi kubwa, nilivyokuwa nategemea sicho nililichojionea aijulikani chorus ni ipi verse ni ipi poor lyrics poor raping hauwezi hata kidogo kuulinganisha wimbo huu na track ya dogo baghdad full ng'ang'ae, hii track ni bomba mara kumi ya hiyo speak with your body

unafananisha pafyumu na ushuzi..we kweli noma!ebu tuambie uyo dogo na nyimbo yake mbona atumsikii au ndio mambo ya promo

rihanna kumshitaki AY ni sawa na kumuua mende kwa kutumia nyundo.wimbo wa AY speaking with ya body nimeusikia vyema ni mzuri na kwaupande wangu AY kafanya vizuri.kuhusu kumuibia lyrics rihanna ni tuhuma zisizo na msingi maana ni neno "te amo" ndio limesound kama melody ya wimbo wa te amo wa rihanna,"te amo" means "i love u" sasa kama mtu anaweza kushtaki mwingine kwa kusema neno i love u ni lake atashtaki dunia nzima maana watu wengi sana hutumia hilo neno.rihanna aache makeke asimpe umaarufu wa bure AY.nimemaliza.

Hakuna tatizo hapo hata kidogo,Teamo-I Luv You kwani kwa ay kuchange language kwenda kispanish ndo kamuiga rihanna? je angeimba i luv you ,i luv you then cellin dion angemsue? Angeiba bar hata mo1 hapo kungekuwa na tatizo,ay usiogope hata ukimchukua mwanasheria wa mwaka wa kwanza wa ud unashinda kesi,mwache afungue utashinda tu kesi na kumfungulia yeye mashatka kwa kukudharirisha hapo ule mkwanja wake then ununue vogue/escalade/hummer na ununue nyumba ufukweni ule maisha.....

Mleta mada wivu tu umemjaa,ktk music ni vitu vya kawaida by the way katumia neno moja tu song zima,alafu huu wimbo umefanywa kwenye studio ya ukweli na producer wa ukweli kama ingekuwa so wangemshauri dogo toa hicho kipande kitakuletea shida sio unakurupuka unakuja jf cos unaaccess unaleta umbea wako,tunampongeza ay cos amethubutu na ipo cku atakuwa icon wa tanzania ktk music kimataifa

AY ni msanii hodari na shupavu sana iyo nyimbo kaimba na lil romeo,mtoto wa master p,na nyimbo kairekodia studio za master p,no limit uko marekan.tungepata wasanii wengine japo kwa uchache wathubutu na jasiri km uyu jamaa hakika mzk wetu ungefika mbali sana..

Lakini nyimbo yenyewe haina kichwa wala miguu pamoja na kurekodiwa marekani.

Prof jay aliimba "piga makofi" yearz after ikatoka "make it clap" ya buster nae angeshtaki? Kwanza kama ni kweli then Rihanna atampa AY umaarufu mkubwa sana while yeye atakuwa amejishusha...so it aint bad at all!!
hazina yako ya mziki ni ndogo,...dj quik aliimba clap your hands way back before AY hajui hata keyboard inafananaje..

kutumia vionjo vile sio kwamba ndio kuiba. mbona Ay alisha fanya sampling ya nyimbo kibao katika nyimbo zake na anazilipia.
inategemea alifanya sampling ya nyimbo zipi,..kama nyimbo zenyewe ni za msondo au kilwa jaz,unategemea alilipia shilingi ngapi?sijawahi kusikia sampling yoyote ya hits kama thong song au brenda's got a baby

Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?

Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?

kumbe na wewe mwita25 ni bongofleva..

Kwa kile ambacho nafahamu. Mtu anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria iwapo amenakili sehhemu ya kazi ya mtu mwingine bila ya idhini. Iwapo wewe ni msanii au hata mwandishi wa kitabu na ukanakili kazi ya msanii au mwandishi mwingine bila ya idhini yake,unaweza kuchukuliwa hatua. Kwa upande wa Ay yeye hajanakili kazi ya Rihanna kwa vyovyote vile kwa kuwa hakuna vionjo alivyochukua kwenye wimbo wa ''Te amo''. Isipokuwa ameimba maneno ambayo mwingine yeyote angeweza kuyaimba.

Ameimba kiswanglish cha kukatikakatika ila katikati akachomekea teeeammooo....teeeeammmmooo. Rihanna amekasirika sana na amesema sheria lazima ichukue mkong'oto wake wakati anahojiwa na BET.
naskia ww na rihanna unnauhusiano wa karibu sana!!!

hazina yako ya mziki ni ndogo,...dj quik aliimba clap your hands way back before AY hajui hata keyboard inafananaje..

Mi umeniuwa tu hapo kwnye ''hazina yako ya mziki ni ndogo'' hehehe!

Yaani wewe unasikiliza U head unakuja ku2tupia sisi.sasa kwa tarifa yako wewe mwenyewe Utaona Utamuuuuu!!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom