Asanteni kwa hiyo ni mtu mwenyewe kuuliza na kutafuta chuo na si vyote ni dhahabu.Kutoka stage moja kwenda nyingine chuo kinatakiwa kitimize masharti na viwango fulani, na huwa kuna muda ukipita ndio kinaweza fungwa. Mfano Provisional Registration ndio unapanda na kupata Full Registration, tokea hapo ndio ukitimiza masharti na viwango chuo kinakuwa accredited. Hivyo kwa IMTU kipo hatua nzuri, japo kina umri mkubwa kiasi kilipaswa kiwe kimeshakuwa accredited.