AXIS OF EVIL: TANESCO/Mkono Advocates/Rex Attorneys/IPTL/Richmond/Dowans

Mkuu hapo nilipokolezea pamenifanya nitafakari sana. Unataka kusema pamoja na taaluma yake ya kisheria na kulipwa mabilioni yote hayo bado kashindwa kwenda mahakamani kujitetea kwa tuhuma alizopewa kwenye ile list of shame? Nashindwa kuamini kabisa juu ya hili!

Hakushindwa kwa kukosa fedha. Hapana! Alijua ni kweli yeye ni fisadi na kutokana na ushahidi uliopo asingeweza kushinda.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nimrod Mkono ni fisadi kama mafisadi wengine kwa mgongo wa kampuni yake ya uwakili, hakika watetea nchi ndio wala nchi
 
Mkuu vipi Law Associates ya Dr Ringo Tenga. Kumbuka hawa ndio walikuwa wanasheria wa Richmond, halafu ndio walichukua nafasi ya Mkono alipotolewa BOT kama wanasheria. Hawa jamaa ni mafisadi lakini wajanja sana, wanajifich ficha sana. Mwenye kuweza kufanya utafiti awafuatilie kwa karibu.
 
Mhe. Ngeleja ni vema utakuambia pesa zote ulizopata na zinakutia kiwewe cha mpaka kuanza kuutamani uraisi utabisha kuwa hii ni moja ya mgao uliopata mpaka ukapagwa ukaanza kununua nyumba za vimada wako, umejenga jumba kubwa mtaa wa ugunja Mwanza karibu na hospitali ya Dk. Kironzo na sasa unapita na kugawa pesa ukijitapa kama uraisi pesa unayo na hakuna wa kukuchezea? Nani asiyejua ulivyotengeneza pesa kupitia mikataba ya mafuta ya IPTL.
Naomna ubishe tu nikuanike kweupe. Hakika huna moral authorite hata kidogo ya hata kuwa mbunge kwa sasa! Kumbuka ulianza mweupe peeee na kama siyo Ropstam Aziz kukupa pesa ya kumshinda Dr. Shija na baadaye ukapigiwa chepuo ukawa naobu waziri na baadye waziri nina mkata wako wote na nakusubilia tu ukanushe nikuanike kwa data zote. nitaeleza mali ulizonazo, utajiri ulionao pamoja na fedha uliyonayo kwa sasa.
Usitufanye siye wajinga hebu ingia 18 upate chako na watanzania wakujue ulivyo fisadi! Nakusibilia na tena nina hamu nawe sana
 
inategemea na hatua mliyopo, ila kama kuna room for appeal, basi wakili atakata rufaa, ila kama hakuna room for appeal, anaweza omba review au revision, ila kama mteja ameshindwa kesi kutokana na uzembe wa wakili, kuna venues nyingine kwa mteja kufanya ili apate haki yake kutokana na wakili mzembe, ila kushidwa pia ni sehemu ya law suits, ukienda mahakamani hakuna uhakika 100% wa kushinda kesi, ukishatoa fees ndio tayari umetoa, kwani wakili tayari alikuwakilisha wewe hata katika kushindwa kwako..nadhani nimekuelimisha kidogo kama bado au wewe ni mdau wa sheria unaweza nikosoa na kuja na yako
Thanks 4 the info, unaeleweka vizuri tu mkuu - nakushauri kafundishe sheria vyuoni unaonekana ni mwalimu mzuri tu au chukua usajili wa uwakili binafsi kichwa chako kinachemka sana kifanyie kazi usilaze damu. Mimi ni mdau wa sayansi sio sheria, CHEERS.
 
Symbion mbona hawajatajwa, kunani?

imeshasafishwa na serikali ya marekani!!!Tatizo lilikua jina richmond,dowans anamiliki mu ajemi(irani),ila kwa kuwa sasa anamiliki mmarekani hata capacity charge yake ikiwa kubwa kuliko kampuni zingine ni sawa tuu(wanasemaga Bora utawaliwe na Mzungu kuliko Muarabu)
 
You are right Babu.Kuhusu Robert Mboma ni usanii mtupu wa nyani hacheki kundulu.
Sijui Meremeta na zile scandal za vifaa vya jeshi liiishia wapi.

Mpaka hapo tutakapopata list ya wanazo huko USWISWI,hatutajua mengi.Hawa magamba wanalinda,pesa za ufisadi zinazunguka tu,they have no mercy at all.

Umenena mkuu Mboma amefanya biashara mpaka za daladala,huku akiwa Mkuu wa Majeshi,malori ya mafuta na kuiba mafuta kwa kushirikiana na TIOT mpaka wakafunga meta yao feki kule tanga,EL akawaumbua,kila kitalu cha madini ni chake, kuna kule dodoma msagali,mbeya vya makaa ya mawe etc
 
Jamani nani ataistop hii rot?Nani mwenye uchungu na Wananchi/walipa kodi wa Tanzania?

TANESCO haizalishi pesa,ni sisi wananchi tunaolipa kodi.Nani hapo Tanesco anaamua kuingia mikataba feki,halafu wanaojiita Wanasheria wa hapa bongo kushirikiana na Wanasheria wa nje(Hunton&William ya USA) ] ni wizi mtupu..
 
The game still on!

Wanamtandao wako mbioni tena kuingia Ikulu!

Kwa sasa wameanza kuvaa ngozi za kondoo huku wakitoa ahadi wakisema watawakimbiza watanzania kimaendeleo katika speed ya 120Km/h.

Hizi ni gharama za ujinga na upumbavu wetu!

Baada ya miaka mitano tutarudi tena hapa kupiga kelele bila maamuzi ya kulisaidia taifa!

Hii ndiyo Tanzania?
 
Mkuu baadhi yetu tumeelewa ila kwa faida ya wengi bora useme wazi. Wanamtandao maslahi wamehamia Chadema na Ukawa.
 
Wanamtandao wana akili sana...ndio maana wanaweza kutuibia...ukipingana nao hukawii kulala milele.
Wametulia ukawa, wanakikosi kazi ambacho kipo vizuri
 
Wanamtandao wana akili sana...ndio maana wanaweza kutuibia...ukipingana nao hukawii kulala milele.
Wametulia ukawa, wanakikosi kazi ambacho kipo vizuri

Mkiwa na rais dhaifu au fisadi ndio mafisad watatamba Tanzania hii.

Usiwasifie bure kwamba wana akili.
 
Kuna watanzania wenzetu wamekaririshwa kwamba ccm yote ni mbovu. Kwamba magufuli ni mbovu pia kwasababu yuko ccm. Kwamba lowasa alikuwa fisad akiwa ccm lakin kwasababu yuko chadema ufisadi wake wote kwisha kabisa.

Wanachokifanya hao jamaa zetu ni kuimba kama kasuku hayo maneno. Kuongea mpaka na kutoa povu midomoni. Mpaka inakuwa aibu kusikiliza hoja zao.

Ni aibu kumsikia mtu na akili zake akisema mwizi wa miaka yote anakoma kuwa mwizi akiacha chama fulan kuhamia chama kingine

Ni aibu kumsikia mtu na akili zake akisema chama ndio huiba na sio watu wanaoiba. Yaani anasema ccm ndio inaiba na sio watu katka ccm kama lowasa wanaoiba. Sasa utashangaa. Chama kinaibaje?

Na mengine mengi

Watu wanajivua nguo hadharani kipind hiki.

Eeh Mungu saidia watu wako wanaokaribia kuteketea kwa kukosa maarifa
 
Wanamtandao wameiteka Chadema ....Chadema ambayo watu wamemwaga damu ili kulikomboa taifa kupitia watu waadilifu....huu ulaghai ni laana ...
 
Kuna watanzania wenzetu wamekaririshwa kwamba ccm yote ni mbovu. Kwamba magufuli ni mbovu pia kwasababu yuko ccm. Kwamba lowasa alikuwa fisad akiwa ccm lakin kwasababu yuko chadema ufisadi wake wote kwisha kabisa.

Wanachokifanya hao jamaa zetu ni kuimba kama kasuku hayo maneno. Kuongea mpaka na kutoa povu midomoni. Mpaka inakuwa aibu kusikiliza hoja zao.

Ni aibu kumsikia mtu na akili zake akisema mwizi wa miaka yote anakoma kuwa mwizi akiacha chama fulan kuhamia chama kingine

Ni aibu kumsikia mtu na akili zake akisema chama ndio huiba na sio watu wanaoiba. Yaani anasema ccm ndio inaiba na sio watu katka ccm kama lowasa wanaoiba. Sasa utashangaa. Chama kinaibaje?

Na mengine mengi

Watu wanajivua nguo hadharani kipind hiki.

Eeh Mungu saidia watu wako wanaokaribia kuteketea kwa kukosa maarifa

You are a fool who doesn't know that he is a fool.
 
Back
Top Bottom